HAKUNA VIBALI KWA AJILI YA KUUZA SHEHENA YA VIROBA ILIYOBAKI- MAKAMBA

HAKUNA VIBALI KWA AJILI YA KUUZA SHEHENA YA VIROBA ILIYOBAKI- MAKAMBA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HAKUNA VIBALI KWA AJILI YA KUUZA SHEHENA YA VIROBA ILIYOBAKI- MAKAMBA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HAKUNA VIBALI KWA AJILI YA KUUZA SHEHENA YA VIROBA ILIYOBAKI- MAKAMBA
kiungo : HAKUNA VIBALI KWA AJILI YA KUUZA SHEHENA YA VIROBA ILIYOBAKI- MAKAMBA

soma pia


HAKUNA VIBALI KWA AJILI YA KUUZA SHEHENA YA VIROBA ILIYOBAKI- MAKAMBA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mh. January Makamba amesema kuwa Serikali haina mpango wa kutoa vibali kwa ajili ya kuuza shehena ya kinywaji aina ya viroba vilivyopo stoo kwenye maghala ya Wafanyabiashara wa pombe hiyo.

Aliongea hayo jijini Dar es Salaam alipofanya ziara ya kushtukiza katika ghala la kampuni ya usambazaji wa vinywaji aina ya kiroba ya Temani iliyopo Kimara Temboni jijini Dar es Salaam.

Aliongeza kuwa Serikali ilitoa muda mrefu kuanzia mei 2016 mpaka machi 2017 kwa wenye shehena hiyo ya viroba kuuza na kumaliza mzigo wote uliopo stoo hivyo basi baada ya Serikali kupiga marufuku pombe hiyo, hakuna kibali kitakachotolewa kwa ajili ya kuuza shehena ya mzigo wa viroba uliobaki. 

Akiongea kwa Mh. Waziri , Mkurugenzi wa kampuni hiyo Bi Elizabeth Massawe alisema wanaiomba Serikali iwasaidie ili waweze kupunguza mzigo mkubwa wa viroba ambao wanao katika ghala lao sababu wanapata hasara kubwa na wanatakiwa kulipia kodi ya magahala waliyokodi. .

Katika ziara hiyo ya kutembelea ghala la vinywaji la kampuni ya Tema Enterprise Waziri alikuta shehena kubwa ya katoni 150,000 za viroba zilizofungashiwa katika vifuko vya plastiki.


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akitoa maelekezo kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Temani ambayo wana ghala la kuhifadhia vinywaji aina ya viroba lililoko Kimara Temboni Bibi Elizabeth Massawe (wa kwanza kushoto) wakati wa ziara yake ya kutembelea ghala hilo.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akiongea na Waandishi wa Habari mara baada ya kumaliza ziara yake ya kutembelea ghala la kuhifadhia vinywaji la Kampuni ya Temani lililopo Kimara Temboni.


Sehemu ya vinywaji aina ya viroba na vifungashio vilivyopo katika ghala la kuhifadhia vinywaji la Kampuni ya Temani.


Hivyo makala HAKUNA VIBALI KWA AJILI YA KUUZA SHEHENA YA VIROBA ILIYOBAKI- MAKAMBA

yaani makala yote HAKUNA VIBALI KWA AJILI YA KUUZA SHEHENA YA VIROBA ILIYOBAKI- MAKAMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HAKUNA VIBALI KWA AJILI YA KUUZA SHEHENA YA VIROBA ILIYOBAKI- MAKAMBA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/hakuna-vibali-kwa-ajili-ya-kuuza.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "HAKUNA VIBALI KWA AJILI YA KUUZA SHEHENA YA VIROBA ILIYOBAKI- MAKAMBA"

Post a Comment