Maonesho ya Vitabu Kwa Wanafunzi wa Skuli za Sekondari Kisiwani Pemba.

Maonesho ya Vitabu Kwa Wanafunzi wa Skuli za Sekondari Kisiwani Pemba. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Maonesho ya Vitabu Kwa Wanafunzi wa Skuli za Sekondari Kisiwani Pemba., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Maonesho ya Vitabu Kwa Wanafunzi wa Skuli za Sekondari Kisiwani Pemba.
kiungo : Maonesho ya Vitabu Kwa Wanafunzi wa Skuli za Sekondari Kisiwani Pemba.

soma pia


Maonesho ya Vitabu Kwa Wanafunzi wa Skuli za Sekondari Kisiwani Pemba.



Mwalimu Mkuu wa skuli ya Sekondari ya Tumbe wilaya ya Micheweni Pemba, Nassor Bakar Said, akifungua maonyesho ya vitabu, yalioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, kwa ajili ya wanafunzi wa skuli hiyo, kuashajihishwa kusoma vitabu.
AFISA Mipango wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, Siti Habib Mohamed, akizungumzia utaratibu wa kuazima vitabu kwa wanafunzi wa skuli ya sekondari ya Tumbe wilaya ya Micheweni, kwenye maonyesho maalumu ya vitabu, yalioandaliwa na ZLSC. 

 
 BAADHI ya vitabu na majarida ya Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, ambavyo yalipelekewa kwa wanafunzi wa skuli ys Sekondari ya Tumbe wilaya ya Micheweni, kwa ajili ya kuhamasishwa kusoma vitabu.




Hivyo makala Maonesho ya Vitabu Kwa Wanafunzi wa Skuli za Sekondari Kisiwani Pemba.

yaani makala yote Maonesho ya Vitabu Kwa Wanafunzi wa Skuli za Sekondari Kisiwani Pemba. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Maonesho ya Vitabu Kwa Wanafunzi wa Skuli za Sekondari Kisiwani Pemba. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/maonesho-ya-vitabu-kwa-wanafunzi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Maonesho ya Vitabu Kwa Wanafunzi wa Skuli za Sekondari Kisiwani Pemba."

Post a Comment