Manji akutwa na kesi ya kujibu juu ya tuhuma za kutumia dawa za kulevya.

Manji akutwa na kesi ya kujibu juu ya tuhuma za kutumia dawa za kulevya. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Manji akutwa na kesi ya kujibu juu ya tuhuma za kutumia dawa za kulevya., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Manji akutwa na kesi ya kujibu juu ya tuhuma za kutumia dawa za kulevya.
kiungo : Manji akutwa na kesi ya kujibu juu ya tuhuma za kutumia dawa za kulevya.

soma pia


Manji akutwa na kesi ya kujibu juu ya tuhuma za kutumia dawa za kulevya.

Mwambawahabari



Na Karama Kenyunko

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imesema kuwa, mfanyabiashara maarufu nchini, Yusuph Manji, anakesi ya kujibu dhidi ya tuhuma zake za kutumia dawa za kulevya.

 

Aidha Manji amedai anatarajia kuita mashahidi 15 watakaofika mahakamani hapo kumtetea.

 
Uamuzi huo umetolewa leo na Hakimu Mkazi Mfawidhi, Cyprian Mkeha baada ya juzi, upande Wa mashtaka kufunga kesi kwa kuketa mashahidi watatu ambao no askari polisi watatu na mfanyakazi kutoka ofisi ya Mkemia Mkuu.

Akisoma uamuzi huo, Hakimu Mkeha amesema, baada ya kupitia ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka mahakama imeridhika kuwa mshtakiwa anahaki ya kujitetea.

Baaada ya kusema hayo, wakili wa utetezi, Hudson Ndusyepo alidai kuwa mteja wake (Manji) atajitetea kwa njia ya kiapo na pia ataita mashihidi 15 kwa ajili ya utetezi wake

Pia Ndusyepo ameiomba mahakama kuwapatia hati ya wito kwa ajili ya Kuwaita mashahidi wao mahakani.

Kesi hiyo imeahirishwa hadi Agosti 30 na 31 kwa ajili ya mshtakiwa Manji kuanza kujitetea

Katika kesi hiyo Manji anadaiwa kukutwa akitumia dawa za kulevya aina ya Heroine.


Hivyo makala Manji akutwa na kesi ya kujibu juu ya tuhuma za kutumia dawa za kulevya.

yaani makala yote Manji akutwa na kesi ya kujibu juu ya tuhuma za kutumia dawa za kulevya. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Manji akutwa na kesi ya kujibu juu ya tuhuma za kutumia dawa za kulevya. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/manji-akutwa-na-kesi-ya-kujibu-juu-ya_25.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Manji akutwa na kesi ya kujibu juu ya tuhuma za kutumia dawa za kulevya."

Post a Comment