MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA SIKU 2 WA TAIFA WA URUTUBISHAJI WA CHAKULA

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA SIKU 2 WA TAIFA WA URUTUBISHAJI WA CHAKULA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA SIKU 2 WA TAIFA WA URUTUBISHAJI WA CHAKULA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA SIKU 2 WA TAIFA WA URUTUBISHAJI WA CHAKULA
kiungo : MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA SIKU 2 WA TAIFA WA URUTUBISHAJI WA CHAKULA

soma pia


MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA SIKU 2 WA TAIFA WA URUTUBISHAJI WA CHAKULA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewataka wataalamu wa masuala ya lishe na urutubishaji chakula kuwa mstari wa mbele katika kutoa elimu ya virutubisho kwa wananchi.

Makamu wa Rais ameyasema hayo leo wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa siku mbili wa Kitaifa kuhusu Urutubishaji Chakula uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam.

Mhe. Samia Suluhu alisema ukosefu wa upatikanaji wa vyakula vyenye virutubisho   unaweza kuathiri Taifa hasa wakati huu nchi inapolekea kuwa Tanzania ya viwanda, Alielekeza ushirikishwaji na wadau malimbali katika kukabiliana na changamoto utasaidia kupunguza tatizo hili , takwimu zinaonyesha hali yetu ya lishe bado hairidhishi ila ni vyema kuweka nguvu pamoja ili watoto wetu ambao ni Taifa la Kesho waweze kujenga Taifa imara.

Makamu wa Rais alisema Tanzania ina asilimia 34 ya watoto wenye udumumavu pamoja na magonjwa mengine kama mgongo wazi na vichwa vikubwa kutokana na lishe duni.Makamu wa Rais alisema atakuwa na mkataba na Wakuu wote wa mkoa kuhakikisha kila mkoa unaweka takwimu zake vizuri na jitihada wanazofanya kuelimisha wananchi wao umuhimu wa lishe bora na virutubishi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Taifa wa Urutubishaji wa Chakula uliofanyika kwenye kituo cha Mikutano Cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar Es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata keki iliyopikwa kwa unga wa mahindi wenye vitamini A na ngano mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Taifa wa Urutubishaji wa Chakula uliofanyika kwenye kituo cha Mikutano Cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar Es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na watoto waliozaliwa na tatizo la vichwa vikubwa na mgongo wazi (Hydrocephalus and Spina Bifida) na wazazi wao wakati ufunguzi wa Mkutano wa Taifa wa Urutubishaji wa Chakula uliofanyika kwenye kituo cha Mikutano Cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar Es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA 


Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA SIKU 2 WA TAIFA WA URUTUBISHAJI WA CHAKULA

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA SIKU 2 WA TAIFA WA URUTUBISHAJI WA CHAKULA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA SIKU 2 WA TAIFA WA URUTUBISHAJI WA CHAKULA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/makamu-wa-rais-afungua-mkutano-wa-siku.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA SIKU 2 WA TAIFA WA URUTUBISHAJI WA CHAKULA"

Post a Comment