title : BREAKING NEWZZ:SIMBA WASHINDA KWA PENATI 5-4 DHIDI YA YANGA NGAO YA JAMII
kiungo : BREAKING NEWZZ:SIMBA WASHINDA KWA PENATI 5-4 DHIDI YA YANGA NGAO YA JAMII
BREAKING NEWZZ:SIMBA WASHINDA KWA PENATI 5-4 DHIDI YA YANGA NGAO YA JAMII
Kiungo wa Yanga Rafael Daud akimruka beki wa Simba Method Mwanjali katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Ngao ya Jamii unaoendelea hivi sasa Uwanja wa Taifa
Beki wa kati wa Yanga Kelvin Yondani na mshabuliaji wa Simba Laudit Mavugo wakigombania mpira katika mchezo wa ufunguzi wa ligi wa Ngao ya Jamii unaoendelea hivi sasa Uwanja wa Taifa.
Mshambuliaji wa Yanga Donald Ngoma akimruka beki wa Simba Method Mwanjali katika mchezo wa ufunguzi wa ligi wa Ngao ya Jamii unaoendelea sasa hivi Uwanja wa Taifa
Golikipa Rostand Youthe akiruka juu na kudaka mpira akiwa sambamba na mshabuliaji wa Simba Emanuel Okwi.
Kiungo wa Simba Haruna Niyonzima akipiga pigo la adhabu nje ya kumi na nane
Hivyo makala BREAKING NEWZZ:SIMBA WASHINDA KWA PENATI 5-4 DHIDI YA YANGA NGAO YA JAMII
yaani makala yote BREAKING NEWZZ:SIMBA WASHINDA KWA PENATI 5-4 DHIDI YA YANGA NGAO YA JAMII Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NEWZZ:SIMBA WASHINDA KWA PENATI 5-4 DHIDI YA YANGA NGAO YA JAMII mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/breaking-newzzsimba-washinda-kwa-penati.html
0 Response to "BREAKING NEWZZ:SIMBA WASHINDA KWA PENATI 5-4 DHIDI YA YANGA NGAO YA JAMII"
Post a Comment