title : Hiki ndio Kilichomtia Uchizi Jini Kabula.....Mpaka Kudai yeye ni Ndugu na Rihanna
kiungo : Hiki ndio Kilichomtia Uchizi Jini Kabula.....Mpaka Kudai yeye ni Ndugu na Rihanna
Hiki ndio Kilichomtia Uchizi Jini Kabula.....Mpaka Kudai yeye ni Ndugu na Rihanna
Msanii wa muziki Issabela Mpanda ambaye ni rafiki wa Karibu wa Mariam Jorwa au jini Kabula ambaye hivi karibuni amepata matatizo ya kurukwa na akili, ameweka wazi kilichomsababishia shoga yake huyo kuchanganyikiwa.
Akizungumza na mwandishi wetu, Issabela amesema daktari ambaye anamtibia Kabula amesema kuwa rafiki yao alikuwa na msongo wa mawazo, lakini kwa sasa yuko sawa.
Pia Issabela ameweka wazi kile ambacho Watanzania wengi walikuwa hawakifahamu kuhusu ugonjwa na matibabu ya Kabula, na kuhusu mtu ambaye amekamatwa kwa kufanya tukio la uhalifu au uvunjaji wa sheria juu ya Kabula.
Hivyo makala Hiki ndio Kilichomtia Uchizi Jini Kabula.....Mpaka Kudai yeye ni Ndugu na Rihanna
yaani makala yote Hiki ndio Kilichomtia Uchizi Jini Kabula.....Mpaka Kudai yeye ni Ndugu na Rihanna Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Hiki ndio Kilichomtia Uchizi Jini Kabula.....Mpaka Kudai yeye ni Ndugu na Rihanna mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/hiki-ndio-kilichomtia-uchizi-jini.html
0 Response to "Hiki ndio Kilichomtia Uchizi Jini Kabula.....Mpaka Kudai yeye ni Ndugu na Rihanna"
Post a Comment