title : IGP SIRRO AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MUFTI WA TANZANIA
kiungo : IGP SIRRO AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MUFTI WA TANZANIA
IGP SIRRO AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MUFTI WA TANZANIA
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (kulia) akizungumza na Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Abubakar Zubeir (kushoto), alipomtembelea ofisini kwake Makao Makuu ya BAKWATA jijini Dar es salaam jana. IGP Sirro, alisema Jeshi la Polisi litaendelea kushirikiana na viongozi wa kidini katika kuimarisha amani nchini. Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (kulia), akifurahia jambo na Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Abubakar Zubeir (kushoto), alipomtembelea ofisini kwake Makao Makuu ya BAKWATA jijini Dar es salaam jana. IGP Sirro, alisema Jeshi la Polisi litaendelea kushirikiana na viongozi wa kidini katika kuimarisha amani nchini.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (wanne kulia waliokaa), na Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Abubakar Zubeir, wakiwa katika picha na baadhi ya viongozi wa dini ya Kiislamu wakati alipomtembelea ofisini kwake Makao Makuu ya BAKWATA jijini Dar es salaam jana. IGP Sirro, alisema Jeshi la Polisi litaendelea kushirikiana na viongozi wa kidini katika kuimarisha amani nchini.
Hivyo makala IGP SIRRO AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MUFTI WA TANZANIA
yaani makala yote IGP SIRRO AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MUFTI WA TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MUFTI WA TANZANIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/igp-sirro-akutana-na-kufanya-mazungumzo.html
0 Response to "IGP SIRRO AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MUFTI WA TANZANIA"
Post a Comment