title : Dkt. Shein akutana na Bodi ya Wakurugenzi Baraza la Sanaa na Sensa ya Filamu Zanzibar
kiungo : Dkt. Shein akutana na Bodi ya Wakurugenzi Baraza la Sanaa na Sensa ya Filamu Zanzibar
Dkt. Shein akutana na Bodi ya Wakurugenzi Baraza la Sanaa na Sensa ya Filamu Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo pamoja na Bodi ya Wakurugenzi Baraza la Sanaa na Sensa ya Filamu na Uongozi wa Baraza la Sanaa na Sensa ya Filamu katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ambacho kimejadili mambo mbali mbali ya kiutendaji.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Nd,Omar Hassan Omar (katikati) alipokuwa akifafanua jambo wakati wa kikao cha siku moja cha pamoja cha Wizara, Bodi ya Wakurugenzi Baraza la Sanaa na Sensa ya Filamu na Uongozi wa Baraza la Sanaa na Sensa ya Filamu kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).Picha na Ikulu, Zanzibar.
Hivyo makala Dkt. Shein akutana na Bodi ya Wakurugenzi Baraza la Sanaa na Sensa ya Filamu Zanzibar
yaani makala yote Dkt. Shein akutana na Bodi ya Wakurugenzi Baraza la Sanaa na Sensa ya Filamu Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Dkt. Shein akutana na Bodi ya Wakurugenzi Baraza la Sanaa na Sensa ya Filamu Zanzibar mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/dkt-shein-akutana-na-bodi-ya.html
0 Response to "Dkt. Shein akutana na Bodi ya Wakurugenzi Baraza la Sanaa na Sensa ya Filamu Zanzibar"
Post a Comment