title : BREAKING NEWS:Mzee Kilomoni Asimamishwa Uanachama Simba
kiungo : BREAKING NEWS:Mzee Kilomoni Asimamishwa Uanachama Simba
BREAKING NEWS:Mzee Kilomoni Asimamishwa Uanachama Simba
Klabu ya Simba imetangaza kumtoa mzee Hamisi Kilomani kwenye Baraza la Wadhamini kwa kosa la kuvunja katiba ya klabu hiyo.
Pia, wanatarajia kumpekelea barua ya kumfuta uanachama na ikiwa hatafuta kesi na kushindwa kujitetea watamfukuza uanachama moja kwa moja.
Aidha, profesa Juma Kapuya ameteuliwa kuziba pengo la Ally Sykes ambaye kwa sasa ni marehemu katika baraza hilo, nafasi ya mzee Kilomoni imejazwa na Mkuu wa wilaya ya Kilosa, Alhaj Adam Mgoyi.
Hivyo makala BREAKING NEWS:Mzee Kilomoni Asimamishwa Uanachama Simba
yaani makala yote BREAKING NEWS:Mzee Kilomoni Asimamishwa Uanachama Simba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NEWS:Mzee Kilomoni Asimamishwa Uanachama Simba mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/breaking-newsmzee-kilomoni-asimamishwa.html
0 Response to "BREAKING NEWS:Mzee Kilomoni Asimamishwa Uanachama Simba"
Post a Comment