BREAKING NEWS :MAKONDA AWANUSURU WANANCHI TOANGOMA WASIBOMOLEWE NYUMBA ZAO

BREAKING NEWS :MAKONDA AWANUSURU WANANCHI TOANGOMA WASIBOMOLEWE NYUMBA ZAO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BREAKING NEWS :MAKONDA AWANUSURU WANANCHI TOANGOMA WASIBOMOLEWE NYUMBA ZAO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BREAKING NEWS :MAKONDA AWANUSURU WANANCHI TOANGOMA WASIBOMOLEWE NYUMBA ZAO
kiungo : BREAKING NEWS :MAKONDA AWANUSURU WANANCHI TOANGOMA WASIBOMOLEWE NYUMBA ZAO

soma pia


BREAKING NEWS :MAKONDA AWANUSURU WANANCHI TOANGOMA WASIBOMOLEWE NYUMBA ZAO

MASAKI TOA NGOMA
Mgogoro wa Ardhi toangoma ambao umesababisha  mwenye kiti wa mtaa kutooroka baada ya kuuza maeneo bila utaratibu, umepatiwa  ufumbuzi leo na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda.
Fuatilia hivi ndiyo ilivyo kuwa....

Makonda.
Wananchi tumekuwa chanzo cha kuficha  uhalifu  Nawaomba msiache waharifu  bila kuwa riport.

Muwe mna riport matukio polisi wala siyo kulala Mika mitandao kwa kujirecord hatuwezi kupata Suruhisho la matatizo, lazima tutoe ushirikiano kwa polisi na tu wa amini kwa kuwa wao wamesomea kazi hii.

Mwananchi.
Said Suleman, Kuna watu wanatishia maisha ana sema wamenunua wizarani Kiwanda kimekuwa kwa zaidi ya watu 10, hawa Ardhi wanaonea wananchi.

Isaac disma . Ushauri  serikali isaidie  wananchi wa kawaida  kupata Makazi ya  bora kwa kuwamilikisha

Said Habib said. Anasikitika  mradi wa Viwanja 20000  wananchi wamepunjwa waalilipwa  million 1.5  kwa hela 3 pamoja na nyumba na banda la udogo Laki tano  mgemuzi alifanya hii kazi.

RC. TATIZO LA UMEME
Amesema wanalifanyia kazi ikiwemo kuwa sambamba wanachi maji changamoto hizi zimekuwa shida kwa wa Nchi na shule za msingi na secondary amoeba ape we muda ili kutatua hili.

BOMOABOMOA
Kunautapeli katika bomoa Bomoa , ilitusiendelee  wananchi m kubali kuwa na utaratibu wa Makazi, kama ni eneo lisha pangwa soko Mwenyekiti asimamie, watu wengi hawafuatilii maeneo kujua kama yameishia uzwa, wanachi wa Dsm wengi wamelizwa tulikamata mihuri 560.

Nimepata Wazo tuta Mwombaji Waziri wa Ardhi,
atupatie Maafisa Ardhi kata 102 ili kupunguza matatizo, napia tuta Mumbai Rais tupate vijana hao 102hawa watatu saidia Sana kwa kumaliza migogoro.

Tuache kuvamia maeneo ya mabonde, Amewaomba kujiepusha na maeneo hayo hatarishi.

Amesema amefurahi kuona kazi iliyofanywa na Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi, tu nahitaji hayo majina ya watu walio uza maeneo yenu hakuna mtu aliye wabomolewa nyumba yake.
Rais amesema hamjamchagua ili awabomolee nyumba zenu, alichaguliwa ili aboreshe Makazi
1.mjiepushe  na kujenga mabondeni , mjengesehemu salama.
DC endelea ni waliojenga eneo hatarishi waondolewe. Maeneo mengine wananchi wasibomolewe.


Hivyo makala BREAKING NEWS :MAKONDA AWANUSURU WANANCHI TOANGOMA WASIBOMOLEWE NYUMBA ZAO

yaani makala yote BREAKING NEWS :MAKONDA AWANUSURU WANANCHI TOANGOMA WASIBOMOLEWE NYUMBA ZAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NEWS :MAKONDA AWANUSURU WANANCHI TOANGOMA WASIBOMOLEWE NYUMBA ZAO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/breaking-news-makonda-awanusuru.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BREAKING NEWS :MAKONDA AWANUSURU WANANCHI TOANGOMA WASIBOMOLEWE NYUMBA ZAO"

Post a Comment