AJALI YA TRAIN NA COSTER YATIKISA MOROGORO ,MGANGA MKUU AFUNGUKA MANENO MAZITO.,CHAKUA YA WAFARIJI MAJERUHI.

AJALI YA TRAIN NA COSTER YATIKISA MOROGORO ,MGANGA MKUU AFUNGUKA MANENO MAZITO.,CHAKUA YA WAFARIJI MAJERUHI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa AJALI YA TRAIN NA COSTER YATIKISA MOROGORO ,MGANGA MKUU AFUNGUKA MANENO MAZITO.,CHAKUA YA WAFARIJI MAJERUHI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : AJALI YA TRAIN NA COSTER YATIKISA MOROGORO ,MGANGA MKUU AFUNGUKA MANENO MAZITO.,CHAKUA YA WAFARIJI MAJERUHI.
kiungo : AJALI YA TRAIN NA COSTER YATIKISA MOROGORO ,MGANGA MKUU AFUNGUKA MANENO MAZITO.,CHAKUA YA WAFARIJI MAJERUHI.

soma pia


AJALI YA TRAIN NA COSTER YATIKISA MOROGORO ,MGANGA MKUU AFUNGUKA MANENO MAZITO.,CHAKUA YA WAFARIJI MAJERUHI.

Picha ya mwonekano wa ajali iliyopigwa  na watoa taarifa  wetu Morogoro mapema siku ya lewa

Mwambawahabari
Picha zi zote ni kwahisani ya chamacha kutetea abiria Tanzania(CHAKUA) Morogoro
WANAFUNZI watatu wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa kufuatia ajali mbaya ya basi la abiria aina ya Coaster lililobeba wanafunzi na raia kugonga treni katika eneo la TANESCO, Morogoro Mjini.

Hali ilivyokuwa eneo la tukio.
Taarifa za awali zimeeleza kuwa ajali hiyo imetokea leo alfajiri ambapo Coaster lilikuwa limebeba wanafunzi wengi wa Shule ya Sekondari ya Kayenzi waliokuwa wakienda shuleni pamoja na raia wachache lilipokatiza kwenye njia ya treni na kuligonga.


Taharuki eneo la tukio.
Imeelezwa pia kuwa treni lililiibuiruza Coaster hiyo kwa umbali wa mita 30 kabla ya kusimama hivyo kusababisha vifo hivyo na majeruhi.
Habari kamamili 
IKIWA imepita takribani miezi mitatu tangu wanafunzi wa Shule ya Lucky Vincent ya Mkoani Arusha wapate ajali na watu 35 kupoteza maisha, leo majira ya saa moja asubuhi, treni ya abiria iliyokuwa ikitokea Bara imegongwa na basi la abiria aina ya Coaster lenye namba za usajili T 438 ABR katika eneo la TANESCO, mjini Morogoro.


Coaster hiyo inayofanya safari zake kati ya Morogoro mjini na Kihonda ilikuwa imebeba wanafunzi wa shule tofauti wakielekea shuleni, mmoja wao anadaiwa kupoteza maisha huku wengi wao wakijeruhiwa kutokana na ajali hiyo tofauti na taarifa zilizosambaa mwanzo kuwa watu watatu walikuwa wamefariki.



Baada ya kuwatoa majeruhi na maiti, polisi kwa kushirikiana na wananchi walilisukuma daladala hilo hadi bondeni na kuipisha treni kuendelea na safari yake.


Akizungumza na waandishi wa habari mjini humo, Mganga Mkuu wa Hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro, Dkt. Frank Jacob amesema leo asubuhi amepokea maiti ya mwanafunzi mmoja na majeruhi kadhaa ambapo wawili kati yao hali zao ni mbaya.



Baada ya kutokea kwa ajali hiyo mwandishi wetu alifika haraka eneo la tukio na kukuta umati mkubwa wakimshushia kichapo dereva wa daladala hiyo ambaye jina lake halikupatikana mara moja wakati akitaka kukimbia baada ya tukio hilo.





Hivyo makala AJALI YA TRAIN NA COSTER YATIKISA MOROGORO ,MGANGA MKUU AFUNGUKA MANENO MAZITO.,CHAKUA YA WAFARIJI MAJERUHI.

yaani makala yote AJALI YA TRAIN NA COSTER YATIKISA MOROGORO ,MGANGA MKUU AFUNGUKA MANENO MAZITO.,CHAKUA YA WAFARIJI MAJERUHI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala AJALI YA TRAIN NA COSTER YATIKISA MOROGORO ,MGANGA MKUU AFUNGUKA MANENO MAZITO.,CHAKUA YA WAFARIJI MAJERUHI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/ajali-ya-train-na-coster-yatikisa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "AJALI YA TRAIN NA COSTER YATIKISA MOROGORO ,MGANGA MKUU AFUNGUKA MANENO MAZITO.,CHAKUA YA WAFARIJI MAJERUHI."

Post a Comment