title : YANGA YAUNDA KAMATI MPYA YA MASHINDANO, MAGID "KABURU' APEWA UENYEKITI
kiungo : YANGA YAUNDA KAMATI MPYA YA MASHINDANO, MAGID "KABURU' APEWA UENYEKITI
YANGA YAUNDA KAMATI MPYA YA MASHINDANO, MAGID "KABURU' APEWA UENYEKITI
Makamu Mwenyekiti wa Yanga Clement Sanga Pamoja na uteuzi wa wa Mwenyekiti na Wajumbe wapya watakaounda Kamti ya Mashindano ya Klabu hiyo kwa ajili ya msimu mpya wa 2017/18.
Makamu Mwenyekiti Clement Sanga amemrejesha Magid Suleiman ambaye atakuwa Mwenyekiti akisaidiwa na makamu Mustapha Urungu huku wakiteuliwa wajumbe wapya 10.
Sanga atafanya kikao cha kwanza na kamati hiyo siku ya jumamosi Saa 4 asubuhi, Makao Makuu ya klabu,jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala YANGA YAUNDA KAMATI MPYA YA MASHINDANO, MAGID "KABURU' APEWA UENYEKITI
yaani makala yote YANGA YAUNDA KAMATI MPYA YA MASHINDANO, MAGID "KABURU' APEWA UENYEKITI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala YANGA YAUNDA KAMATI MPYA YA MASHINDANO, MAGID "KABURU' APEWA UENYEKITI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/yanga-yaunda-kamati-mpya-ya-mashindano.html
0 Response to "YANGA YAUNDA KAMATI MPYA YA MASHINDANO, MAGID "KABURU' APEWA UENYEKITI"
Post a Comment