WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA UJENZI WA DARAJA MTO LUKULEDI

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA UJENZI WA DARAJA MTO LUKULEDI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA UJENZI WA DARAJA MTO LUKULEDI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA UJENZI WA DARAJA MTO LUKULEDI
kiungo : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA UJENZI WA DARAJA MTO LUKULEDI

soma pia


WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA UJENZI WA DARAJA MTO LUKULEDI

*Asema watu wengi wamekufa wakikatiza katika eneo hilo

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametembelea mradi wa ujenzi wa daraja la mto Lukuledi lenye urefu wa kilomita 30.45 linalounganisha mikoa ya Lindi na Mtwara na na kusema kwamba ameridhishwa na maendeleo ya ujenzi wake.

Amesema ujenzi wa daraja hilo unatakaogharimu sh. bilioni 5.4 ni mkombozi kwa wananchi wa mikoa hiyo hasa wa wilaya za Ruangwa na Masasi ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakishirikiana katika masuala mbalimbali yakiwemo kilimo na huduma za kijamii. 

Waziri Mkuu amesema hayo leo (Jumanne, Julai 11, 2017) alipotembelea mradi huo wa ujenzi wa daraja hilo katika kijiji cha Nandanga alipowasili wilayani Ruangwa akiwa katika siku ya pili ya ziara yake ya kikazi ya siku nne Mkoani Lindi.

“Watu wengi wamepoteza maisha kwa kuliwa na mamba walipokuwa wakikatiza katika eneo hilo. Ujenzi wa daraja hili ni muhimu, watu wengi wa Ruangwa wanavuka kufuata matibabu katika hospitali ya Ndanda, wilayani Masasi na wakazi wa Ndanda wanavuka kufanya shughuli za kilimo wilayani Ruangwa.”
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipata maelezo ya mradi wa daraja la Nandaga, linalo unganisha Wilaya ya Ruangwa na Wilaya ya Masasi, kutoka kwa Mhandisi Josam Mlaki, kwenye ziara ya kikazi ya siku nne Mkoani Lindi, Julai 11, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) . 
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua mradi wa daraja la Nandaga, linalo unganisha Wilaya ya Ruangwa na Wilaya ya Masasi, kutoka kwa Mhandisi Josam Mlaki, kwenye ziara ya kikazi ya siku nne Mkoani Lindi, Julai 11, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)




Hivyo makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA UJENZI WA DARAJA MTO LUKULEDI

yaani makala yote WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA UJENZI WA DARAJA MTO LUKULEDI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA UJENZI WA DARAJA MTO LUKULEDI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-atembelea_11.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA UJENZI WA DARAJA MTO LUKULEDI"

Post a Comment