WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI SONGWE

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI SONGWE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI SONGWE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI SONGWE
kiungo : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI SONGWE

soma pia


WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI SONGWE

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Chiku Galawa baada ya kuwasili Mkwajuni wilayani Songwe kuanza ziara ya mkoa wa Songwe Julai 20, 2017. Kulia ni mkewe Mary.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Songwe, Elias Nawela  baada ya kuwasili Mkwajuni wilayani Songwe kuanza ziara ya mkoa wa Songwe Julai 20, 2017. Kushoto ni  Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Chiku Galawa. 
 Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akisalimia wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  (kulia) alipozungumza na watumishi wa umma na viongozi wa dini  kwenye ukumbi wa Chuo cha Uuguzi cha  Kanisa Katoliki cha Mwambani wilayani Songwe, Julai 20, 20117. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Chiku Galawa.  
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa umma na viongozi wa dini wa mkoa wa Songwe kwenye ukumbi wa Chuo cha Uuguzi cha Kanisa Katoliki cha Mwambani wilayani Songwe, Julai 20, 2017. Kushoto ni Mkewe Mary na Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Chiku Galawa.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI


Hivyo makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI SONGWE

yaani makala yote WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI SONGWE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI SONGWE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-aanza-ziara.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI SONGWE"

Post a Comment