WAZIRI MAHIGA AKUTANA NA MCHUNGAJI ONGERE

WAZIRI MAHIGA AKUTANA NA MCHUNGAJI ONGERE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MAHIGA AKUTANA NA MCHUNGAJI ONGERE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MAHIGA AKUTANA NA MCHUNGAJI ONGERE
kiungo : WAZIRI MAHIGA AKUTANA NA MCHUNGAJI ONGERE

soma pia


WAZIRI MAHIGA AKUTANA NA MCHUNGAJI ONGERE

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga (kulia) akisalimiana na Mchungaji John Oscar Ongere ambaye alifika ofisini kwa Mhe. Waziri kujadili maandalizi ya Kongamano kubwa la uwekezaji linalotarajiwa kufanyika nchini mwezi Novemba 2017..Kongamano hilo litakalofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam litajumuiya wafanyabiashara wakubwa kutoka kote duniani na wa hapa nchini kujadiliana namna bora ya kutumia fursa lukuki za uwekezaji zilizopo hapa nchini. 
Mchungaji Ongere akifanya maombi kwa ajili ya kuiombea nchi amani na utulivu ili iweze kukua kiuchumi 
Picha ya pamoja Balozi wa Iran
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga (kulia) akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Mazungumzo yao pamoja na mambo mengine walijadili maandalizi ya sherehe za kumuapisha Rais Mteule wa Iran, Mhe. Hassan Rouhani zitakazofanyika Tehran tarehe 05 August 2017. 
Ujumbe wa Tanzania ukifuatilia mazungumzo hayo, Kutoka kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati, Bi. Zainab Angovi-Mrutu, Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Mashariki ya Kati, Bw Ayoub Mndeme na Katibu wa Waziri, Bw. Gerald Mbwafu. 
Ujumbe aliofuatana nao Balozi wa Iran ukifuatilia mazungumzo. 


Hivyo makala WAZIRI MAHIGA AKUTANA NA MCHUNGAJI ONGERE

yaani makala yote WAZIRI MAHIGA AKUTANA NA MCHUNGAJI ONGERE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MAHIGA AKUTANA NA MCHUNGAJI ONGERE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/waziri-mahiga-akutana-na-mchungaji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MAHIGA AKUTANA NA MCHUNGAJI ONGERE"

Post a Comment