title : Waziri Dkt. Harrison Mwakyembe aitambulisha rasmi Bodi ya Ushauri ya TaSUBa.
kiungo : Waziri Dkt. Harrison Mwakyembe aitambulisha rasmi Bodi ya Ushauri ya TaSUBa.
Waziri Dkt. Harrison Mwakyembe aitambulisha rasmi Bodi ya Ushauri ya TaSUBa.
MwambawahabariWaziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akimkabidhi Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Ushauri ya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) Bw. George Daniel Yambesi (kulia) alipoitambulisha rasmi bodi hiyo jana Jijini Dar es Salaam.
Wajumbe wakimsikiliza Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo Mhe.Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo katika picha) jana Jijini Dar es Salaam alipokuwa akiwatambulisha wajumbe wapya wa bodi ya ushauri waTaasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa).
Wajumbe wakimsikiliza Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo Mhe.Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo katika picha) jana Jijini Dar es Salaam alipokuwa akiwatambulisha wajumbe wapya wa bodi ya ushauri waTaasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa).
Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo Mhe.Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wapya wa wa bodi ya ushauri waTaasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa). (Picha na Lorietha Laurence-WHUSM).
Hivyo makala Waziri Dkt. Harrison Mwakyembe aitambulisha rasmi Bodi ya Ushauri ya TaSUBa.
yaani makala yote Waziri Dkt. Harrison Mwakyembe aitambulisha rasmi Bodi ya Ushauri ya TaSUBa. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Dkt. Harrison Mwakyembe aitambulisha rasmi Bodi ya Ushauri ya TaSUBa. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/waziri-dkt-harrison-mwakyembe_15.html
0 Response to "Waziri Dkt. Harrison Mwakyembe aitambulisha rasmi Bodi ya Ushauri ya TaSUBa."
Post a Comment