title : Wanafunzi skuli za sekondari Pemba wapatiwea mafunzo ya haki za binadamu
kiungo : Wanafunzi skuli za sekondari Pemba wapatiwea mafunzo ya haki za binadamu
Wanafunzi skuli za sekondari Pemba wapatiwea mafunzo ya haki za binadamu
WANAFUNZI wa Skuli mbali mbali za Sekondari kutoka Wilaya nne za kisiwani Pemba, wakifuatilia kwa makini mafunzo ya Haki za Binaadamu, yaliyotolewa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar Tawi la Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
MRATIB wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar Tawi la Pemba, Fatma Khamis Hemed akiwasilisha mada ya haki za Watoto, kwa wanafunzi wa skuli za Sekondari Kisiwani Pemba, huko katika Ukumbi wa Kituo hicho
Mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
AFISA elimu ya Ukimwi kutoka Tume ya Ukimwi Zanzibar Tawi la Pemba, AFISA elimu ya Ukimwi kutoka Tume ya Ukimwi Zanzibar Tawi la Pemba, Ali Mbarouk Omar akiwasilisha mada ya athari za Madawa ya Kulevya kwa
wanafunzi wa skuli za Skondori Kisiwani Pemba, wakati wa mafunzo ya haki za Binaadamu yaliyoandaliwa na ZLSC.(PICHA NA ABDI SULEIMAN
AFISA Mipango kutoka Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar Tawi la Pemba, Safia Saleh Sultani akiwasilisha mada ya sheria ya Ukimwi kwa wanafunzi wa skuli za sekondari Kisiwani Pemba, wakati wa mafunzo ya
haki za binaadamu huko katika kituo cha ZLSC.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
BAADHI ya wanafunzi wakiwa katika kazi za vikundi, wakati wa mafunzo ya haki za binaadamu yaliyoandaliwa na kituo cha huduma za Sheria Zanzibar Tawi la Pemba Mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,
PEMBA).
Hivyo makala Wanafunzi skuli za sekondari Pemba wapatiwea mafunzo ya haki za binadamu
yaani makala yote Wanafunzi skuli za sekondari Pemba wapatiwea mafunzo ya haki za binadamu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wanafunzi skuli za sekondari Pemba wapatiwea mafunzo ya haki za binadamu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/wanafunzi-skuli-za-sekondari-pemba.html
0 Response to "Wanafunzi skuli za sekondari Pemba wapatiwea mafunzo ya haki za binadamu"
Post a Comment