WALIOKULA FEDHA ZA USHIRIKA WATAZILIPA-MAJALIWA

WALIOKULA FEDHA ZA USHIRIKA WATAZILIPA-MAJALIWA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WALIOKULA FEDHA ZA USHIRIKA WATAZILIPA-MAJALIWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WALIOKULA FEDHA ZA USHIRIKA WATAZILIPA-MAJALIWA
kiungo : WALIOKULA FEDHA ZA USHIRIKA WATAZILIPA-MAJALIWA

soma pia


WALIOKULA FEDHA ZA USHIRIKA WATAZILIPA-MAJALIWA


WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali haitahusika na ulipaji wa deni la fedha za Ushirika na badala yake kila aliyekula fedha hizo atazilipa mwenyewe.

Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Jumatatu, Julai 10, 2017), wakati akizungumza na wananchi wa wilaya ya Liwale katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa michezo wa wilaya.

Waziri Mkuu ambaye yuko katika na ziara ya kikazi ya siku nne Mkoani Lindi, amesema Serikali haiwezi kukubali Ushirika ukafa nchini kwa ajili ya watu wachache wasiokuwa waaminifu.

Amesema watu wote waliopewa dhamana ya kuongoza Vyama vya Ushirika na kuamua kujinufaisha kwa kula fedha za vyama watazilipa.

Waziri Mkuu amewaagiza Viongozi wa Mkoa wa Lindi kufanya ukaguzi katika Vyama vyote vya Ushirika vya Msingi (AMCOS) ili kubaini ni wakulima wangapi wanadai.

Amesema baada ya kufanya uchunguzi na kubaini idadi ya wakulima wanaodai na kiasi cha fedha wawachukulie hatua wahusika wote kwa mujibu wa sheria.



Hivyo makala WALIOKULA FEDHA ZA USHIRIKA WATAZILIPA-MAJALIWA

yaani makala yote WALIOKULA FEDHA ZA USHIRIKA WATAZILIPA-MAJALIWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WALIOKULA FEDHA ZA USHIRIKA WATAZILIPA-MAJALIWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/waliokula-fedha-za-ushirika-watazilipa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WALIOKULA FEDHA ZA USHIRIKA WATAZILIPA-MAJALIWA"

Post a Comment