Wajumbe wa Bodi za ZURA na ZAWA Wakutana na Rais wa Zanzibar Dk Shein Ikulu Zanzibar leo.

Wajumbe wa Bodi za ZURA na ZAWA Wakutana na Rais wa Zanzibar Dk Shein Ikulu Zanzibar leo. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wajumbe wa Bodi za ZURA na ZAWA Wakutana na Rais wa Zanzibar Dk Shein Ikulu Zanzibar leo., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wajumbe wa Bodi za ZURA na ZAWA Wakutana na Rais wa Zanzibar Dk Shein Ikulu Zanzibar leo.
kiungo : Wajumbe wa Bodi za ZURA na ZAWA Wakutana na Rais wa Zanzibar Dk Shein Ikulu Zanzibar leo.

soma pia


Wajumbe wa Bodi za ZURA na ZAWA Wakutana na Rais wa Zanzibar Dk Shein Ikulu Zanzibar leo.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma ya Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma ya Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) wakiwa katika mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika ukumbi wa Ikulu MJini Unguja leo
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma ya Maji na Nishati Zanzibar(ZURA) Ng,Haji Kali alipokuwa akitoa mchango na kuelezea maendeleo waliofikia katika Mamlaka hiyo walipokuwa na Kikao cha siku moja cha Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma ya Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) akiwa Mwenyekiti wa Kikao hicho kilichofanyuika leo Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 03/07/2017.


Hivyo makala Wajumbe wa Bodi za ZURA na ZAWA Wakutana na Rais wa Zanzibar Dk Shein Ikulu Zanzibar leo.

yaani makala yote Wajumbe wa Bodi za ZURA na ZAWA Wakutana na Rais wa Zanzibar Dk Shein Ikulu Zanzibar leo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wajumbe wa Bodi za ZURA na ZAWA Wakutana na Rais wa Zanzibar Dk Shein Ikulu Zanzibar leo. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/wajumbe-wa-bodi-za-zura-na-zawa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Wajumbe wa Bodi za ZURA na ZAWA Wakutana na Rais wa Zanzibar Dk Shein Ikulu Zanzibar leo."

Post a Comment