UTEKELEZAJI WA REA AWAMU YA TATU ARUSHA:RC Gambo akutana na wakandarasi wa mradi

UTEKELEZAJI WA REA AWAMU YA TATU ARUSHA:RC Gambo akutana na wakandarasi wa mradi - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UTEKELEZAJI WA REA AWAMU YA TATU ARUSHA:RC Gambo akutana na wakandarasi wa mradi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UTEKELEZAJI WA REA AWAMU YA TATU ARUSHA:RC Gambo akutana na wakandarasi wa mradi
kiungo : UTEKELEZAJI WA REA AWAMU YA TATU ARUSHA:RC Gambo akutana na wakandarasi wa mradi

soma pia


UTEKELEZAJI WA REA AWAMU YA TATU ARUSHA:RC Gambo akutana na wakandarasi wa mradi

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe Mrisho Gambo leo amekutana  na timu itayotekeleza mradi wa umeme vijijini (REA) awamu ya tatu katika kikao  kazi  kilichofanyika ofisini kwake jijini Arusha.
 Mhe Gambo ameshauri wakandarasi wanaotekeleza mradi huo kuwa makini katika masuala ya ajira hasa zile za vibarua kwani mara nyingi zinaleta malalamiko kwa serikali, hivyo amewataka kuwa makini katika kufuata taratibu za ajira za vibarua.
Mkuu wa Mkoa huyo pia amemshauri mkandarasi kua makini na 'sub contractors' wanaowapa kazi kazi mara nyingi wamekua wanafanya utapeli wa kuchangisha wananchi hali inayopelekea kuichafua serikali hususani Shirika la Umeme Tanesco.
"Mara nyingi watu mnaowapa kazi wanakua wanafanya vitendo vya kitapeli kwa wananchi, kwani wanakua wanapita na kuchangisha wananchi michango ambayo kimsingi ni makosa mfano wanaweza kuwaambia wananchi wachange hela ya nguzo ama kuchimba mashimo ya nguzo,nendeni mkakemee vitendo hivyo" alisema Mhe. Gambo.
Mradi huo unategemea kuanza mapema mwezi Agosti na utatekelezwa katika maeneo mbalimbali mkoani Arusha ambao una changamoto kubwa ya  umeme.

 Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe Mrisho Gambo katika kikao kazi  na timu itayotekeleza mradi wa umeme vijijini (REA) awamu ya tatu  ofisini kwake jijini Arusha leo.
 Wajumbe wa kikao kutoka kushoto ni Rama Shankar na Abas Kitola wa Angelique Int. Ltd, Eng. Donasian Shamba wa TANESCO Arusha na Eng. Gaspar Msigwa  ambaye ni Meneja TANESCO Arusha
Sehemu ya wajumbe wa kikao hicho kutoka kushoto ni Chuwa African wa TANESCO Arusha, Wilson Chilewa na Kurwa Nelson wa NIPO Group Ltd.


Hivyo makala UTEKELEZAJI WA REA AWAMU YA TATU ARUSHA:RC Gambo akutana na wakandarasi wa mradi

yaani makala yote UTEKELEZAJI WA REA AWAMU YA TATU ARUSHA:RC Gambo akutana na wakandarasi wa mradi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UTEKELEZAJI WA REA AWAMU YA TATU ARUSHA:RC Gambo akutana na wakandarasi wa mradi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/utekelezaji-wa-rea-awamu-ya-tatu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UTEKELEZAJI WA REA AWAMU YA TATU ARUSHA:RC Gambo akutana na wakandarasi wa mradi"

Post a Comment