title : UJENZI WA UWANJA WA MAO TSE TUNG KUGHARIMU BILIONI 12
kiungo : UJENZI WA UWANJA WA MAO TSE TUNG KUGHARIMU BILIONI 12
UJENZI WA UWANJA WA MAO TSE TUNG KUGHARIMU BILIONI 12
Harakati za ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Mao Tse Tung uliopo Mpirani Kikwajuni Mjini Zanzibar zinaendelea karibu Miezi Miwili sasa chini ya Wahandisi wa Kampuni ya Kimataifa ya Zhengtai Group ya Jamuhuri ya Watu wa China.
Ujenzi huo unafuatia msada mkubwa ulioidhinishwa na Serikali ya Jamuhuri ya Watu wa China kwa Serikali ya Zanzibar katika azma ya kuimarisha uhusiano wa muda mrefu wa pande hizo mbili ukizingatia heshima uliopewa Uwanja huo wa kuitwa jina la Muasisiwa Taifa la China Hayati Mao Tse Tung.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipata fursa ya kutembelea Uwanja huo kujionea harakati za ujenzi huo kazi ambayo inaonyesha mafanikio mazuri.
Hivyo makala UJENZI WA UWANJA WA MAO TSE TUNG KUGHARIMU BILIONI 12
yaani makala yote UJENZI WA UWANJA WA MAO TSE TUNG KUGHARIMU BILIONI 12 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UJENZI WA UWANJA WA MAO TSE TUNG KUGHARIMU BILIONI 12 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/ujenzi-wa-uwanja-wa-mao-tse-tung.html
0 Response to "UJENZI WA UWANJA WA MAO TSE TUNG KUGHARIMU BILIONI 12"
Post a Comment