Timu mpya ya madaktari kutoka nchini China yaanza kutoa huduma vijijini

Timu mpya ya madaktari kutoka nchini China yaanza kutoa huduma vijijini - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Timu mpya ya madaktari kutoka nchini China yaanza kutoa huduma vijijini, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Timu mpya ya madaktari kutoka nchini China yaanza kutoa huduma vijijini
kiungo : Timu mpya ya madaktari kutoka nchini China yaanza kutoa huduma vijijini

soma pia


Timu mpya ya madaktari kutoka nchini China yaanza kutoa huduma vijijini

 Wananchi wa Shehia ya Banko wakisubiri huduma za matibabu kutoka kwa timu ya madaktari bingwa kutoka China waliofika katika skuli ya sekondari Chumbuni kutoa hudua hizo.
 Daktari bingwa wa macho kutoka china Qin Qin akimfanyia uchunguzi wa macho mtoto Nassor Idrisa katika zoezi la kutoa huduma vijiji lililofanyika skuli ya sekondari Chumbuni.

 Mzee Abdalla Bakari akielezea matatizo ya afya yake kwa Dkt. He Qibin kutoka China wakati timu ya madaktari hao ilipokua ikitoa huduma za afya katika Shehiya ya Banko skuli ya sekondari Chumbuni (kulia) Dkt. Zulekha Bakari akisaidia tafsiri.

Dkt. Zhou Ziyue kutoka China akimpima sindikizo la damu (Pressure) Mzee. Ali Simai Makame wakati wa zoezi la kuchunguza afya wananchi wa Shehia ya Banko katika skuli ya sekondari Chumbuni.

Picha na Makame Mshenga.



Hivyo makala Timu mpya ya madaktari kutoka nchini China yaanza kutoa huduma vijijini

yaani makala yote Timu mpya ya madaktari kutoka nchini China yaanza kutoa huduma vijijini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Timu mpya ya madaktari kutoka nchini China yaanza kutoa huduma vijijini mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/timu-mpya-ya-madaktari-kutoka-nchini.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Timu mpya ya madaktari kutoka nchini China yaanza kutoa huduma vijijini"

Post a Comment