TAIFA STARS KUWAVAA ZAMBIA NUSU FAINALI YA COSAFA CUP,

TAIFA STARS KUWAVAA ZAMBIA NUSU FAINALI YA COSAFA CUP, - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAIFA STARS KUWAVAA ZAMBIA NUSU FAINALI YA COSAFA CUP,, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAIFA STARS KUWAVAA ZAMBIA NUSU FAINALI YA COSAFA CUP,
kiungo : TAIFA STARS KUWAVAA ZAMBIA NUSU FAINALI YA COSAFA CUP,

soma pia


TAIFA STARS KUWAVAA ZAMBIA NUSU FAINALI YA COSAFA CUP,


Taifa Stars imetinga nusu fainali ya michuano ya Cosafa baada ya kuwatwanga wenyeji Afrika Kusini kwa bao 1-0.
Shuja wa mechi hiyo ambaye ameibuka nyota wa mchezo huo amekuwa ni Elius Maguri ambaye amefunga bao hilo pekee katika kipindi cha kwanza.
Kipa Aishi Manula mara kadhaa alilazimika kuokoa michomo mikali ya washambuliaji wa Afrika Kusini.
Safu ya ulinzi iliyoongozwa na Erasto Nyoni na Salim Mbonde ilionekana kukaa imara tokea kipindi cha kwanza lakini Muzamiru Yassin na Raphael Alpha wakaonekana kufanya vizuri zaidi katika.
Simon Msuva aliingia kipindi cha pili kuchukua nafasi ya Thomas Ulimwengu na kusaidia kuongeza nguvu ya kupandisha presha kwenye lango la Afrika Kusini.
Kwa ushindi huo Stars itamenyana na Zambia hatua inayofuata mchezo wa nusu Fainali ya Michuano hiyo.


Hivyo makala TAIFA STARS KUWAVAA ZAMBIA NUSU FAINALI YA COSAFA CUP,

yaani makala yote TAIFA STARS KUWAVAA ZAMBIA NUSU FAINALI YA COSAFA CUP, Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAIFA STARS KUWAVAA ZAMBIA NUSU FAINALI YA COSAFA CUP, mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/taifa-stars-kuwavaa-zambia-nusu-fainali.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TAIFA STARS KUWAVAA ZAMBIA NUSU FAINALI YA COSAFA CUP,"

Post a Comment