title : SHUGHULI MBALIMBALI ZA UVUVI WA SAMAKI PWANI YA TANGA MAPEMA LEO.
kiungo : SHUGHULI MBALIMBALI ZA UVUVI WA SAMAKI PWANI YA TANGA MAPEMA LEO.
SHUGHULI MBALIMBALI ZA UVUVI WA SAMAKI PWANI YA TANGA MAPEMA LEO.
Wachuuzi wa Samaki wakiwa wanaelekea ndani ya Maji kwa ajili ya kununua Samaki maarufu kwa jina la Uono, ambao unapendwa sana katika mji wa Tanga kwa ajili ya kulia Ugali na kutafuna wakati wa chai asubuhi
Wachuuzi wa Samaki wakichangamkia Samaki katika moja ya jahazi lililoingia na mzigo kutoka katika kina kirefu mara baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu
Mchuuzi wa Samaki akingia katika maji kwa ajili ya kununua Samaki katika Majahazi yaliyofika katika ufukwe wa Sahare
Wavuvi wakiondoka kwenda kuvua mapema leo Asubuhi katika pwani ya Jiji la Tanga
Mkazi wa Jiji la Tanga akichagua Samaki kutoka wauzaji wa soko la Sahare jijini Tanga.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA

Hivyo makala SHUGHULI MBALIMBALI ZA UVUVI WA SAMAKI PWANI YA TANGA MAPEMA LEO.
yaani makala yote SHUGHULI MBALIMBALI ZA UVUVI WA SAMAKI PWANI YA TANGA MAPEMA LEO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SHUGHULI MBALIMBALI ZA UVUVI WA SAMAKI PWANI YA TANGA MAPEMA LEO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/shughuli-mbalimbali-za-uvuvi-wa-samaki.html
0 Response to "SHUGHULI MBALIMBALI ZA UVUVI WA SAMAKI PWANI YA TANGA MAPEMA LEO."
Post a Comment