title : RC Kilimanjaro Mhe.Anna Mghwira Aipongeza PSPF Kwa Kuendesha Mafunzo Kwa Wastaafu Watarajiwa.
kiungo : RC Kilimanjaro Mhe.Anna Mghwira Aipongeza PSPF Kwa Kuendesha Mafunzo Kwa Wastaafu Watarajiwa.
RC Kilimanjaro Mhe.Anna Mghwira Aipongeza PSPF Kwa Kuendesha Mafunzo Kwa Wastaafu Watarajiwa.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Anna Mghwira, (kulia), akipokea kadi ya uanachama wa Mfuko wa Pensehni wa PSPF, kupitia mpango wa hiari, (PSS), kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Bw. Adam Mayingu, wakati wa semina ya wastaafu watarajiwa mkoani Kilimanjaro Juni 30, 2017.
Bw. Mayingu akitoa hotuba yake
Mhe. Anna Ngwira, Mkuu wa Mkaow a Kilimanjaro, akionyesha kadi yake ya uanachama wa PSPF kupitia mpango wa PSS
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira,akiagana na wanachama wasitaafu watarajiwa,wa mfuko wa pesheni wa PSPF,mara baada ya kufungua semina hiyo Mkoa wa Kilimanjaro Juni 30, 2017
Baadhi ya wastaafu watarajiwa wakiwa kwenye semina ya mafunzo iliyoandaliwa na PSPF mkoani Kilimanjaro
Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa PSPF |
Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa semina hiyo
Baadhi ya wastaafu watarajiwa wakiwa kwenye semina ya mafunzo iliyoandaliwa na PSPF mkoani Kilimanjaro
Hivyo makala RC Kilimanjaro Mhe.Anna Mghwira Aipongeza PSPF Kwa Kuendesha Mafunzo Kwa Wastaafu Watarajiwa.
yaani makala yote RC Kilimanjaro Mhe.Anna Mghwira Aipongeza PSPF Kwa Kuendesha Mafunzo Kwa Wastaafu Watarajiwa. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RC Kilimanjaro Mhe.Anna Mghwira Aipongeza PSPF Kwa Kuendesha Mafunzo Kwa Wastaafu Watarajiwa. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/rc-kilimanjaro-mheanna-mghwira.html
0 Response to "RC Kilimanjaro Mhe.Anna Mghwira Aipongeza PSPF Kwa Kuendesha Mafunzo Kwa Wastaafu Watarajiwa."
Post a Comment