title : Rais Magufuli: Mwalimu Atakaye Mrudisha Mwanafunzi Aliyepata Mimba Ntamfukuza Kazi
kiungo : Rais Magufuli: Mwalimu Atakaye Mrudisha Mwanafunzi Aliyepata Mimba Ntamfukuza Kazi
Rais Magufuli: Mwalimu Atakaye Mrudisha Mwanafunzi Aliyepata Mimba Ntamfukuza Kazi
Rais John Magufuli amesema mwalimu mkuu atakayeruhusu mwanafunzi aliyejifungua kurudi shuleni kuendelea na masomo katika shule za Serikali, atafukuzwa kazi.
Rais ameyasema hayo leo (Jumanne, Julai 4) alipokuwa akihutubia wananchi wakati akizindua mradi wa maji Sengerema.
“Ni ukweli pia kuwa wanafunzi waliopata mimba hawarudishwi shuleni, kuna ujanja ujanja wa walimu, wanaandika cheti kuwa alikuwa amelazwa,” amesema na kuongeza:
“Nikimuona Headmaster, amerudisha mwanafunzi aliyepata mimba, kwenye shule za Serikali, yule mwalimu anaondoka.”
Rais amehoji: “Wote waliopata mimba wamebakwa?” Alihoji na kuendelea, “wanafanya mambo haya kwenye picha, wakipata mimba kwa namna hiyo arudi shule.”
Hivyo makala Rais Magufuli: Mwalimu Atakaye Mrudisha Mwanafunzi Aliyepata Mimba Ntamfukuza Kazi
yaani makala yote Rais Magufuli: Mwalimu Atakaye Mrudisha Mwanafunzi Aliyepata Mimba Ntamfukuza Kazi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais Magufuli: Mwalimu Atakaye Mrudisha Mwanafunzi Aliyepata Mimba Ntamfukuza Kazi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/rais-magufuli-mwalimu-atakaye-mrudisha.html
0 Response to "Rais Magufuli: Mwalimu Atakaye Mrudisha Mwanafunzi Aliyepata Mimba Ntamfukuza Kazi"
Post a Comment