Rais Magufuli Afungua Barabara ya Kagoma-Biharamulo-Lusahunga yenye urefu wa Kilometa 154

Rais Magufuli Afungua Barabara ya Kagoma-Biharamulo-Lusahunga yenye urefu wa Kilometa 154 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais Magufuli Afungua Barabara ya Kagoma-Biharamulo-Lusahunga yenye urefu wa Kilometa 154, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais Magufuli Afungua Barabara ya Kagoma-Biharamulo-Lusahunga yenye urefu wa Kilometa 154
kiungo : Rais Magufuli Afungua Barabara ya Kagoma-Biharamulo-Lusahunga yenye urefu wa Kilometa 154

soma pia


Rais Magufuli Afungua Barabara ya Kagoma-Biharamulo-Lusahunga yenye urefu wa Kilometa 154

Mwambawahabari 

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa amesema Barabara ya Kagoma-Biharamulo-Lusahunga imegharimu Sh 190 bilioni.

Waziri Mbarawa ametoa tamko hilo leo wakati wa uzinduzi wa barabara hiyo mbele ya umati mkubwa wa watu ambao wamehudhuria uzinduzi wa barabara hiyo ya  kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 154.

Akizindua ujenzi wa barabara hiyo leo Rais John Magufuli amesema kwamba Biharamulo imeshika nafasi ya pili kwa umasikini na wananchi wanafanya ulinganisho na hali ilivyo tofauti katika wilaya jirani ya Chato.

Kwa upande wake Mbunge wa Biharamulo, Oscar Mukasa amesema wanaunga mkono msimamo wa Rais kupiga marufuku wanafunzi wanaobeba mimba kuendelea na masomo na wameanzisha shule ya wasichana ya bweni kuunga mkono kauli yake.


Hivyo makala Rais Magufuli Afungua Barabara ya Kagoma-Biharamulo-Lusahunga yenye urefu wa Kilometa 154

yaani makala yote Rais Magufuli Afungua Barabara ya Kagoma-Biharamulo-Lusahunga yenye urefu wa Kilometa 154 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais Magufuli Afungua Barabara ya Kagoma-Biharamulo-Lusahunga yenye urefu wa Kilometa 154 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/rais-magufuli-afungua-barabara-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rais Magufuli Afungua Barabara ya Kagoma-Biharamulo-Lusahunga yenye urefu wa Kilometa 154"

Post a Comment