RAIS DKT. MAGUFULI ALIPOTEMBELEA BANDA LA CRDB BANK KATIKA MAONYESHO YA SABASABA

RAIS DKT. MAGUFULI ALIPOTEMBELEA BANDA LA CRDB BANK KATIKA MAONYESHO YA SABASABA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT. MAGUFULI ALIPOTEMBELEA BANDA LA CRDB BANK KATIKA MAONYESHO YA SABASABA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT. MAGUFULI ALIPOTEMBELEA BANDA LA CRDB BANK KATIKA MAONYESHO YA SABASABA
kiungo : RAIS DKT. MAGUFULI ALIPOTEMBELEA BANDA LA CRDB BANK KATIKA MAONYESHO YA SABASABA

soma pia


RAIS DKT. MAGUFULI ALIPOTEMBELEA BANDA LA CRDB BANK KATIKA MAONYESHO YA SABASABA

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongozana na Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank PLC, Dkt. Charles Kimei wakati alipotembelea Banda la CRDB  kwenye Maonyesho ya Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa (sabasaba), yaliyoanza Juni 28 - Julai 8, 2017 ambapo kwa mwaka huu yameongezewa siku tano zaidi na kutarajiwa kumalizika Julai 13, 2017, yaliyozinduliwa na Rais mwishoni mwa wiki katika Viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, Kilwa Road jijini Dar es salaam.
 Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimuuliza jambo Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank PLC, Dkt. Charles Kimei wakati alipotembelea Banda la CRDB  kwenye Maonyesho ya Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa (sabasaba), yaliyoanza Juni 28 - Julai 8, 2017 ambapo kwa mwaka huu yameongezewa siku tano zaidi na kutarajiwa kumalizika Julai 13, 2017, yaliyozinduliwa na Rais mwishoni mwa wiki katika Viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, Kilwa Road jijini Dar es salaam.
 Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank PLC, Dkt. Charles Kimei akieleza jambo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipotembelea Banda la CRDB  kwenye Maonyesho ya Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa (sabasaba), yaliyoanza Juni 28 - Julai 8, 2017 ambapo kwa mwaka huu yameongezewa siku tano zaidi na kutarajiwa kumalizika Julai 13, 2017, yaliyozinduliwa na Rais mwishoni mwa wiki katika Viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, Kilwa Road jijini Dar es salaam.
 Baadhi ya Wafanyakazi wa CRDB Bank PLC wakiendelea kutoa huduma za kibenki kwa wateja waliotembelea Banda lao.
Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank PLC, Dkt. Charles Kimei akielekeza jambo kwa baadhi ya watendaji wa benki hiyo, katika Banda la CRDB  kwenye Maonyesho ya Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa (sabasaba), yaliyoanza Juni 28 - Julai 8, 2017 ambapo kwa mwaka huu yameongezewa siku tano zaidi na kutarajiwa kumalizika Julai 13, 2017, yaliyozinduliwa na Rais mwishoni mwa wiki katika Viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, Kilwa Road jijini Dar es salaam.



Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI ALIPOTEMBELEA BANDA LA CRDB BANK KATIKA MAONYESHO YA SABASABA

yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI ALIPOTEMBELEA BANDA LA CRDB BANK KATIKA MAONYESHO YA SABASABA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI ALIPOTEMBELEA BANDA LA CRDB BANK KATIKA MAONYESHO YA SABASABA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/rais-dkt-magufuli-alipotembelea-banda.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI ALIPOTEMBELEA BANDA LA CRDB BANK KATIKA MAONYESHO YA SABASABA"

Post a Comment