Prof Jay Ameyasema Haya Baada ya Kufunga Ndoa

Prof Jay Ameyasema Haya Baada ya Kufunga Ndoa - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Prof Jay Ameyasema Haya Baada ya Kufunga Ndoa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Prof Jay Ameyasema Haya Baada ya Kufunga Ndoa
kiungo : Prof Jay Ameyasema Haya Baada ya Kufunga Ndoa

soma pia


Prof Jay Ameyasema Haya Baada ya Kufunga Ndoa

Msanii wa muziki, Professor Jay amefunga ndoa katika Kanisa la Mtakatifu Joseph la Posta jijini Dar es salaam leo Jumamosi Julai 08, 2017 na mpenzi wake wa siku nyingi Grace Mgonjo.

Cherekochereko za tukio kubwa la Mbunge wa Jimbo la Mikumi kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Haule almaarufu Profesa Jay limetikisa Jiji La Dar baada ya kufuatiliwa na watu wengi. Ndoa ya Profesa Jay na mpenzi wake wa muda mrefu.

Kabla ya ndoa hiyo iliyoibua shangwe kwa ndugu, jamaa na marafiki waliofurika kanisani hapo, msafara wa kuelekea kanisani ulianzia nyumbani kwa Profesa Jay, Kimara-Temboni jijini Dar.

Ndoa hiyo ilifuatiwa na sherehe ya kukata na shoka iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar ambapo waalikwa walipata nafasi ya kula, kunywa hadi kusaza huku shughuli nzima ikipambwa na mahudhurio ya mastaa kibao wa Bongo.

“Namshukuru Mungu nimetimiza ahadi ya ndoa kwa mchumba wangu ambaye tumepitia mabonde na milima,” alisema Profesa Jay baada ya kutoka kanisani hapo.


Hivyo makala Prof Jay Ameyasema Haya Baada ya Kufunga Ndoa

yaani makala yote Prof Jay Ameyasema Haya Baada ya Kufunga Ndoa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Prof Jay Ameyasema Haya Baada ya Kufunga Ndoa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/prof-jay-ameyasema-haya-baada-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Prof Jay Ameyasema Haya Baada ya Kufunga Ndoa"

Post a Comment