PROF GODIUS KAHYARARA ATEMBELEA BANDA LA NSSF KATIKA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA SABASABA

PROF GODIUS KAHYARARA ATEMBELEA BANDA LA NSSF KATIKA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA SABASABA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa PROF GODIUS KAHYARARA ATEMBELEA BANDA LA NSSF KATIKA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA SABASABA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : PROF GODIUS KAHYARARA ATEMBELEA BANDA LA NSSF KATIKA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA SABASABA
kiungo : PROF GODIUS KAHYARARA ATEMBELEA BANDA LA NSSF KATIKA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA SABASABA

soma pia


PROF GODIUS KAHYARARA ATEMBELEA BANDA LA NSSF KATIKA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA SABASABA

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof Godius Kahyarara akipata maelezo kuhusu huduma ya Mafao ya Matibabu Kutoka kwa Ofisa wa NSSF, Aisha Omari alipotembelea banda lao katika Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataida Dar es salaam (Sabasaba) yanayoendeela katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, Jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof Godius Kahyarara akipata maelezo kuhusu huduma mbalimbali kutoka kwa Afisa Uhusiano Aisha Sango na Christina Msengi alipotembelea banda la NSSF katika Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataida Dar es salaam (Sabasaba) yanayoendeela katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, Jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof Godius Kahyarara akipata maelezo kuhusu kifaa cha kuandikishia wanachama kutoka kwa Afisa matekelezo, Burhan Idrisa alipotembelea banda la NSSF katika Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataida Dar es salaam (Sabasaba) yanayoendeela katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, Jijini Dar es salaam.
Maafisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakiendelea kutoa huduma kwa wateja mbalimbali waliotembelea Banda la NSSF, katika Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataida Dar es salaam (Sabasaba) yanayoendeela katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, Jijini Dar es salaam. Bofya hapa kwa picha zaidi


Hivyo makala PROF GODIUS KAHYARARA ATEMBELEA BANDA LA NSSF KATIKA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA SABASABA

yaani makala yote PROF GODIUS KAHYARARA ATEMBELEA BANDA LA NSSF KATIKA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA SABASABA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala PROF GODIUS KAHYARARA ATEMBELEA BANDA LA NSSF KATIKA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA SABASABA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/prof-godius-kahyarara-atembelea-banda.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "PROF GODIUS KAHYARARA ATEMBELEA BANDA LA NSSF KATIKA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA SABASABA"

Post a Comment