title : PPF YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA HOSPITALI YA MKOA WA DODOMA
kiungo : PPF YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA HOSPITALI YA MKOA WA DODOMA
PPF YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA HOSPITALI YA MKOA WA DODOMA
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Dkt. Zainab Chaula (wa pili kushoto) akipokea sehemu ya msaada wa vifaa tiba, kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio kwa ajili ya Hospitali ya Mkoa wa Dodoma, katika hafla fupi ya makabidhiano hayo iliyofanyika Hospitalini hapo, Julai 22, 2017. Wengine pichani ni Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma, Rehema Madenge (katikati), Mjumbe wa Bodi ya Hospitali ya Mkoa wa Dodoma, Sarah Mwaga (wa pili kulia) pamoja na Mganga Mfawidhi wa Hospitali hiyo, Dkt. Caroline Damian. Mfuko huo umetoa msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi milioni 99 kwa hospitali 16 hapa nchini ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za serikali katika kuboresha sekta ya afya.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Dkt. Zainab Chaula (wa nne kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio (katikati) wakiangalia moja ya vitanda vya kujifungulia wakina mama, vilivyotolewa na Mfuko huo, kwa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma, Julai 22, 2017.
Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma, Rehema Madenge akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi, katika hafla fupi ya makabidhiano msaada wa vifaa tiba vilivyotolewa na Mfuko wa Pensheni wa PPF kwa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma, Julai 22, 2017.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio akizungumza katika hafla fupi ya makabidhiano msaada wa vifaa tiba vilivyotolewa na Mfuko wa Pensheni wa PPF kwa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma, Julai 22, 2017.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Hivyo makala PPF YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA HOSPITALI YA MKOA WA DODOMA
yaani makala yote PPF YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA HOSPITALI YA MKOA WA DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala PPF YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA HOSPITALI YA MKOA WA DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/ppf-yatoa-msaada-wa-vifaa-tiba.html
0 Response to "PPF YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA HOSPITALI YA MKOA WA DODOMA"
Post a Comment