PICHA: SPIKA NDUGAI AONGOZA WABUNGE KATIKA MECHI KATI YA TIMU YA BUNGE NA TIMU YA FC GRACE UNITED STATES KUTOKA NCHINI MAREKANI ILIYOFANYIKA LEO KATIKA UWANJA WA JAMHURI MJINI DODOMA.

PICHA: SPIKA NDUGAI AONGOZA WABUNGE KATIKA MECHI KATI YA TIMU YA BUNGE NA TIMU YA FC GRACE UNITED STATES KUTOKA NCHINI MAREKANI ILIYOFANYIKA LEO KATIKA UWANJA WA JAMHURI MJINI DODOMA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa PICHA: SPIKA NDUGAI AONGOZA WABUNGE KATIKA MECHI KATI YA TIMU YA BUNGE NA TIMU YA FC GRACE UNITED STATES KUTOKA NCHINI MAREKANI ILIYOFANYIKA LEO KATIKA UWANJA WA JAMHURI MJINI DODOMA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : PICHA: SPIKA NDUGAI AONGOZA WABUNGE KATIKA MECHI KATI YA TIMU YA BUNGE NA TIMU YA FC GRACE UNITED STATES KUTOKA NCHINI MAREKANI ILIYOFANYIKA LEO KATIKA UWANJA WA JAMHURI MJINI DODOMA.
kiungo : PICHA: SPIKA NDUGAI AONGOZA WABUNGE KATIKA MECHI KATI YA TIMU YA BUNGE NA TIMU YA FC GRACE UNITED STATES KUTOKA NCHINI MAREKANI ILIYOFANYIKA LEO KATIKA UWANJA WA JAMHURI MJINI DODOMA.

soma pia


PICHA: SPIKA NDUGAI AONGOZA WABUNGE KATIKA MECHI KATI YA TIMU YA BUNGE NA TIMU YA FC GRACE UNITED STATES KUTOKA NCHINI MAREKANI ILIYOFANYIKA LEO KATIKA UWANJA WA JAMHURI MJINI DODOMA.


Displaying IMGL6974.JPG

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia)akisalimiana na Mchezaji wa timu ya Bunge Mheshimiwa William Ngeleja (kushoto) wakati akikagua vikosi vya timu ya Bunge pamoja na timu ya FC GRACE UNITED STATES kutoka nchini Marekani kabla ya kuanza kwa mechi yao iliyofanyika leo katika uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma.

Displaying IMGL6999.JPG

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia)akionyesha zawadi ya jezi ya timu ya Taifa ya Marekani aliyopewa na Mchezaji wa timu ya FC GRACE UNITED STATES Ndg. Robert Allen (kushoto) kabla ya kuanza kwa mechi kati ya timu ya Bunge pamoja na timu ya FC GRACE UNITED STATES kutoka nchini Marekani iliyofanyika leo uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma.

Displaying IMGL7017.JPG

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia)akikabidhiwa jezi na Mchezaji wa timu ya FC GRACE UNITED STATES Ndg. Robert Allen (kushoto) kabla ya kuanza kwa mechi kati ya timu ya Bunge pamoja na timu ya FC GRACE UNITED STATES kutoka nchini Marekani iliyofanyika leo uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma.

Displaying IMGL7039.JPG
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (wa pili kulia)akifurahia jambo na Mchungaji Vicent Valentyn kutoka Afrika kusini (watatu kulia) wakati wakifuatilia mechi kati ya timu ya Bunge pamoja na timu ya FC GRACE UNITED STATES kutoka nchini Marekani iliyofanyika leo uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma.


Displaying IMGL7212.JPG
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akikabidhiwa Mipira kutoka kwa Ndg. Robert Allen (kulia) kwa ajili ya timu ya Bunge, kabla ya kuanza kwa mechi kati ya timu ya Bunge na timu ya FC GRACE UNITED STATES kutoka nchini Marekani  iliyofanyika leo uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)


Hivyo makala PICHA: SPIKA NDUGAI AONGOZA WABUNGE KATIKA MECHI KATI YA TIMU YA BUNGE NA TIMU YA FC GRACE UNITED STATES KUTOKA NCHINI MAREKANI ILIYOFANYIKA LEO KATIKA UWANJA WA JAMHURI MJINI DODOMA.

yaani makala yote PICHA: SPIKA NDUGAI AONGOZA WABUNGE KATIKA MECHI KATI YA TIMU YA BUNGE NA TIMU YA FC GRACE UNITED STATES KUTOKA NCHINI MAREKANI ILIYOFANYIKA LEO KATIKA UWANJA WA JAMHURI MJINI DODOMA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala PICHA: SPIKA NDUGAI AONGOZA WABUNGE KATIKA MECHI KATI YA TIMU YA BUNGE NA TIMU YA FC GRACE UNITED STATES KUTOKA NCHINI MAREKANI ILIYOFANYIKA LEO KATIKA UWANJA WA JAMHURI MJINI DODOMA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/picha-spika-ndugai-aongoza-wabunge.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "PICHA: SPIKA NDUGAI AONGOZA WABUNGE KATIKA MECHI KATI YA TIMU YA BUNGE NA TIMU YA FC GRACE UNITED STATES KUTOKA NCHINI MAREKANI ILIYOFANYIKA LEO KATIKA UWANJA WA JAMHURI MJINI DODOMA."

Post a Comment