NHIF YAWAPONGEZA WANANCHI WANAOENDELEA KUJITOKEZA KUPATA KADI ZA BIMA YA AFYA

NHIF YAWAPONGEZA WANANCHI WANAOENDELEA KUJITOKEZA KUPATA KADI ZA BIMA YA AFYA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NHIF YAWAPONGEZA WANANCHI WANAOENDELEA KUJITOKEZA KUPATA KADI ZA BIMA YA AFYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NHIF YAWAPONGEZA WANANCHI WANAOENDELEA KUJITOKEZA KUPATA KADI ZA BIMA YA AFYA
kiungo : NHIF YAWAPONGEZA WANANCHI WANAOENDELEA KUJITOKEZA KUPATA KADI ZA BIMA YA AFYA

soma pia


NHIF YAWAPONGEZA WANANCHI WANAOENDELEA KUJITOKEZA KUPATA KADI ZA BIMA YA AFYA

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Bw. Mpoki Alisubisya akipata maelezo ya jinsi wanachama wa NHIF wanavyohakikiwa wakati wakienda kupata huduma katika vituo vya afya. Maelezo yanatolewa na Afisa mtaalam wa mambo ya Tehama wa NHIF Bw. Maleko katika maonesho ya Sabasaba yanayoendelea huku Kaimu Mkurugenzi wa Fedha wa NHIF Bw. Muganga akifuatilia.
 Kaimu Mkurugenzi wa Masoko wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Angela Mziray akimuelekeza mwananchi aliyejitokeza kwenye banda la Bima ya Afya kwa ajili ya kujipatia kadi ya Bima katika maadhimisho ya maonesho ya 41 ya kimataifa ya biashara Sabasaba leo Jijini Dar es salaam.

 Wananchi wakiendelea kuoata huduma ya Bima ya Afya katika banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) katika maadhimisho ya maonesho ya 41 ya kimataifa ya biashara Sabasaba leo Jijini Dar es salaam.
Maafisa wa Mfuko wa Taifa ya Bima ya Afya (NHIF) wakiwa wanendelea na kazi ya kusajili wananchi wanaojitokeza kupata kadi za bima ya Afya katika maadhimisho ya maonesho ya 41 ya kimataifa ya biashara Sabasaba leo Jijini Dar es salaam.


Hivyo makala NHIF YAWAPONGEZA WANANCHI WANAOENDELEA KUJITOKEZA KUPATA KADI ZA BIMA YA AFYA

yaani makala yote NHIF YAWAPONGEZA WANANCHI WANAOENDELEA KUJITOKEZA KUPATA KADI ZA BIMA YA AFYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NHIF YAWAPONGEZA WANANCHI WANAOENDELEA KUJITOKEZA KUPATA KADI ZA BIMA YA AFYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/nhif-yawapongeza-wananchi-wanaoendelea.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "NHIF YAWAPONGEZA WANANCHI WANAOENDELEA KUJITOKEZA KUPATA KADI ZA BIMA YA AFYA"

Post a Comment