Kombaini ya mjini yafika salama Dar Alfajiri kuanza safari ya Manyara

Kombaini ya mjini yafika salama Dar Alfajiri kuanza safari ya Manyara - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kombaini ya mjini yafika salama Dar Alfajiri kuanza safari ya Manyara, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kombaini ya mjini yafika salama Dar Alfajiri kuanza safari ya Manyara
kiungo : Kombaini ya mjini yafika salama Dar Alfajiri kuanza safari ya Manyara

soma pia


Kombaini ya mjini yafika salama Dar Alfajiri kuanza safari ya Manyara



Na: Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.

Mabingwa watetezi wa Mashindano ya Vijana ya Afrika Mashariki na Kati ya Rolling Stone timu ya Kombain ya Mjini Unguja imewasili salama Jijini Dar es salam Alfajiri ya leo wakitokea Visiwani Zanzibar, na saa 12 za asubuhi wameanza safari kwa Basi ya kwenda Mbulu Mkoani Manyara katika Mashindano hayo yaliyopangwa kuanza July 9-19, 2017.

Jumla ya watu 30 wamo katika msafara huo wakiwemo wachezaji 22, makocha 2 pamoja na viongozi 6.

Wachezaji 22 waliyosafiri na timu hiyo ni :-
WALINDA MLANGO
 Aley Ali Suleiman “Manula” (Miembeni city), Ali Mabrouk “Al hapsy” Black Sailors na George Munish “Dida”.

WALINZI WA PEMBENI
Muharami Khamis “Terra” (Black Sailors), Abdul hamid Salum “Ramos” (KVZ) na Hassan Chalii (Kipanga).

WALINZI WA KATI
Ali Juma Maarifa “Mabata” (Taifa ya Jang’ombe) na Abubakar Ame “Luiz” (Membeni City).

VIUNGO WA KATI
Fahmi Salum (Mlandege), Ibrahim Chafu (Villa FC) Yakoub Amour (Jang’ombe Boys), Mohd Ridhaa (Villa United), Talib Hamad (Kipanga), Mohd Yahya “Banka” (Zimamoto),  Seif Said “Tiote” (KVZ) na Suleiman Ali “De Jong”.

VIUNGO WA PEMBENI
Abrahman Juma “Baby” (KMKM), Mohd Jailan (Chrisc), Mohd Haji “Box” (Jang’ombe Boys).

WASHAMBULIAJI
Ibrahim Abdallah “Imu Mkoko” (Miembeni City), Mohd Vuai “Prince” (Miembeni City) na Abdul hamid Juma “Samatta”.

Kocha mkuu wa timu hiyo ni Mohammed Seif “King” akisaidiwa na Ramadhan Abdulrahman “Madundo”.

Viongozi wengine walofatana na timu hiyo ni Hassan Haji Hamza “Chura” ambae ni mkuu wa msafara pamoja na Mwalimu Dau, Khamis Machano (Mwenyekiti wa Kamati ya Central Wilaya ya Mjini), Nassir Kheir (Mtunza vifaa), Said Salim “Hazard” (Muandishi wa Habari) na Nassir Salum “Msomali” (Muamuzi).


Hivyo makala Kombaini ya mjini yafika salama Dar Alfajiri kuanza safari ya Manyara

yaani makala yote Kombaini ya mjini yafika salama Dar Alfajiri kuanza safari ya Manyara Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kombaini ya mjini yafika salama Dar Alfajiri kuanza safari ya Manyara mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/kombaini-ya-mjini-yafika-salama-dar.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Kombaini ya mjini yafika salama Dar Alfajiri kuanza safari ya Manyara"

Post a Comment