title : Ngoma Africa Band Kutumbuiza Open Air Festival Bonn Ujerumani.
kiungo : Ngoma Africa Band Kutumbuiza Open Air Festival Bonn Ujerumani.
Ngoma Africa Band Kutumbuiza Open Air Festival Bonn Ujerumani.
Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni au Viumbe wa ajabu "Anunnaki Aliens" yenye makao yake
nchini Ujerumani inatarajiwa kutumbuiza katika onyesho la wazi la Orient-Afrika litakalo fanyika mjini Bonn,Ujrumani siku ya Ijumaa 28.Julai 2017
saa 2.00 Usiku(20.00 hrs),bendi hiyo inayoongozwa na Kamanda Ras Makunja inadumu katika medani ya muziki kwa miaka 24 na kufanikiwa kuteka washabiki wa kimataifa,pamoja na kuachia nyimbo na CD kadha
bendi hiyo imejizolea umaarufu katika majukwaa ya kimataifa wa mdundo wa Extraordinary "Bongo Dansi" unaowatia kiwewe washabiki barani ulaya. Usikose kujumuika nao at www.ngoma-africa.com au http://ift.tt/2tMV8pTand
Hivyo makala Ngoma Africa Band Kutumbuiza Open Air Festival Bonn Ujerumani.
yaani makala yote Ngoma Africa Band Kutumbuiza Open Air Festival Bonn Ujerumani. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Ngoma Africa Band Kutumbuiza Open Air Festival Bonn Ujerumani. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/ngoma-africa-band-kutumbuiza-open-air.html
0 Response to "Ngoma Africa Band Kutumbuiza Open Air Festival Bonn Ujerumani."
Post a Comment