“Naomba Serikali ilegeze Kidogo ili Mashabiki Wangu Wafurahi Kwa Viuno na Chura Yangu” – Snura

“Naomba Serikali ilegeze Kidogo ili Mashabiki Wangu Wafurahi Kwa Viuno na Chura Yangu” – Snura - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa “Naomba Serikali ilegeze Kidogo ili Mashabiki Wangu Wafurahi Kwa Viuno na Chura Yangu” – Snura, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : “Naomba Serikali ilegeze Kidogo ili Mashabiki Wangu Wafurahi Kwa Viuno na Chura Yangu” – Snura
kiungo : “Naomba Serikali ilegeze Kidogo ili Mashabiki Wangu Wafurahi Kwa Viuno na Chura Yangu” – Snura

soma pia


“Naomba Serikali ilegeze Kidogo ili Mashabiki Wangu Wafurahi Kwa Viuno na Chura Yangu” – Snura



Kama utakumbuka mwimbaji wa Bongofleva Snura aliwahi kuingia kwenye headlines baada ya video ya wimbo wake wa Chura kufungiwa na Serikali…sasa new stori ni kwamba ameiomba Serikali kulegeza kidogo baada ya video ya pili ya wimbo huo kupata mapokezi yasiyoridhisha.

Ayo TV na millardayo.com zimekaa na Snura na kusema:
”Video yangu ya Chura ya mara ya kwanza na video yangu ya pili niliyoifanya kimaadili kibishara, kiukweli imekwenda tofauti kwa sababu video yangu ya kwanza ilikuwa na kasi sana. Wengi tuliona walipost wakiwemo Don Jazzy mpaka meneja wa Lil Wayne.

“Kwa hiyo, ukiangalia video ya kwanza ilikuwa na kasi kuliko niliyoifanya ya pili. Naomba Serikali walegeze kidogo ili mashabiki zangu wafurahi kwani mashabiki wanapenda muziki wangu pia ukiangalia asilimia kubwa ya muziki ninaoufanya ni wa Kiswahili na lazima nioneshe viuno vyenyewe. Kwa hiyo Serikai watufikirie hilo.” – Snura.


Hivyo makala “Naomba Serikali ilegeze Kidogo ili Mashabiki Wangu Wafurahi Kwa Viuno na Chura Yangu” – Snura

yaani makala yote “Naomba Serikali ilegeze Kidogo ili Mashabiki Wangu Wafurahi Kwa Viuno na Chura Yangu” – Snura Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala “Naomba Serikali ilegeze Kidogo ili Mashabiki Wangu Wafurahi Kwa Viuno na Chura Yangu” – Snura mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/naomba-serikali-ilegeze-kidogo-ili.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "“Naomba Serikali ilegeze Kidogo ili Mashabiki Wangu Wafurahi Kwa Viuno na Chura Yangu” – Snura"

Post a Comment