title : Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isaack Kamwelwe akagua ukarabati na upanuzi wa mtambo wa maji Chalinze
kiungo : Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isaack Kamwelwe akagua ukarabati na upanuzi wa mtambo wa maji Chalinze
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isaack Kamwelwe akagua ukarabati na upanuzi wa mtambo wa maji Chalinze
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isaack Kamwelwe akisisitiza jambo wakati wa ziara yake ya kukagua hatua iliyofikiwa katika mradi wa ukarabati na upanuzi wa mtambo wa maji Chalinze na ujenzi wa mfumo wa kusafirishia maji pamoja na matenki ya kuhifadhia maji. Kulia ni Mkurugenzi mtendaji wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Chalinze (CHALIWASA)Mhandisi Christer Mchomba na kushoto ni Msimamizi wa mradi huo kutoka kampuni ya WAPCO inayotekeleza mradi huo.
Mafundi wakiendelea na Kazi ya ujenzi wa matanki ya kuhifadhi na kusambaza maji katika Jimbo la Chalinze.
Sehemu ya mabomba yakiwa katika moja ya maeneo unakotekelezwa mradi huo.
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isack Kamwelwe (wapili kushoto) akioneshwa ramani ya mradi huo na hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wake wakati wa ziara yake ya kukagua mradi huo wa ukarabati na upanuzi wa mtambo wa maji chalinze na na ujenzi wa mfumo wa kusafirishia maji pamoja na matenki yakuhifadhia maji.
Picha zote na Frank Mvungi-MAELEZO
Hivyo makala Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isaack Kamwelwe akagua ukarabati na upanuzi wa mtambo wa maji Chalinze
yaani makala yote Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isaack Kamwelwe akagua ukarabati na upanuzi wa mtambo wa maji Chalinze Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isaack Kamwelwe akagua ukarabati na upanuzi wa mtambo wa maji Chalinze mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/naibu-waziri-wa-maji-na-umwagiliaji.html
0 Response to "Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isaack Kamwelwe akagua ukarabati na upanuzi wa mtambo wa maji Chalinze"
Post a Comment