title : NAIBU WAZIRI NISHATI DKT MEDARD KALEMANI AZINDUA MRADI WA REA MKOA WA SIMIYU
kiungo : NAIBU WAZIRI NISHATI DKT MEDARD KALEMANI AZINDUA MRADI WA REA MKOA WA SIMIYU
NAIBU WAZIRI NISHATI DKT MEDARD KALEMANI AZINDUA MRADI WA REA MKOA WA SIMIYU
Naibu waziri wa Nishati na Madini Dkt Medard Kalemani akizindua mradi wa Umeme vijijini REA jana Nangale wilaya ya Itilima mkoani Simiyu akiwa ameambatana na viongozi wa mkoa huo.
Naibu waziri wa Nishati na Madini Dkt Medard Kalemani akiwasalimia wabunge wa mkoa wa Simiyu wakati wa uzinduzi mradi wa Umeme vijijini REA jana.
Wabunge mkoa wa Simiyu wakicheza na Naibu waziri wa Nishati na Madini Dkt Medard Kalemani wakati wa uzinduzi mradi wa Umeme vijijini REA jana ikiwa ni katika kuhakikisha umeme unapatikana nchi nzima na kwa bei nafuu.
Wananchi wakiwa wanafuatilia uzinduzi wa mradi wa Umeme vijijini REA jana wakati ulipozinduliwa na Naibu waziri wa Nishati na Madini Dkt Medard Kalemani ikiwa ni katika kuhakikisha umeme unapatikana nchi nzima na kwa bei nafuu.
Hivyo makala NAIBU WAZIRI NISHATI DKT MEDARD KALEMANI AZINDUA MRADI WA REA MKOA WA SIMIYU
yaani makala yote NAIBU WAZIRI NISHATI DKT MEDARD KALEMANI AZINDUA MRADI WA REA MKOA WA SIMIYU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI NISHATI DKT MEDARD KALEMANI AZINDUA MRADI WA REA MKOA WA SIMIYU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/naibu-waziri-nishati-dkt-medard.html
0 Response to "NAIBU WAZIRI NISHATI DKT MEDARD KALEMANI AZINDUA MRADI WA REA MKOA WA SIMIYU"
Post a Comment