Mwakilishi wa Jimbo la Tungu Mhe Simai Mohammed na Mbunge wa Jimbo Hilo Mhe Khalifa Salum Washiriki Ujenzi wa Soko la Samaki Katika Kijiji cha Tindini

Mwakilishi wa Jimbo la Tungu Mhe Simai Mohammed na Mbunge wa Jimbo Hilo Mhe Khalifa Salum Washiriki Ujenzi wa Soko la Samaki Katika Kijiji cha Tindini - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mwakilishi wa Jimbo la Tungu Mhe Simai Mohammed na Mbunge wa Jimbo Hilo Mhe Khalifa Salum Washiriki Ujenzi wa Soko la Samaki Katika Kijiji cha Tindini, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mwakilishi wa Jimbo la Tungu Mhe Simai Mohammed na Mbunge wa Jimbo Hilo Mhe Khalifa Salum Washiriki Ujenzi wa Soko la Samaki Katika Kijiji cha Tindini
kiungo : Mwakilishi wa Jimbo la Tungu Mhe Simai Mohammed na Mbunge wa Jimbo Hilo Mhe Khalifa Salum Washiriki Ujenzi wa Soko la Samaki Katika Kijiji cha Tindini

soma pia


Mwakilishi wa Jimbo la Tungu Mhe Simai Mohammed na Mbunge wa Jimbo Hilo Mhe Khalifa Salum Washiriki Ujenzi wa Soko la Samaki Katika Kijiji cha Tindini

Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said akiwa na Mbunge wa Jimbo hilo Mhe Khalafa Salum Suleima wakishiriki katika ujenzi wa Taifa wa kujenga Soko la Samaki katika ufukwe wa pwani ya Kijiji cha Tindini Unguja Ukuu Zanzibar Wilaya ya Kati Unguja, wakikata majengo ya kuezekea bati katika soko hilo. Pia wamekabidhi mabati kwa ajili ya ujenzi huo ili kutowa mazingira mazuri ya Soko hilo wakati wa kufanya mnada wa samaki kwa wavuvi wanaporudi baharini kuvua.
Mbunge nas Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said ma Mhe Khalifa Salum Suleiman wakikabidhi mabati kwa Katibu Mkuu wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Bi. Sauda Ramadhani, hafla hiyo ya makabidhiano ya Mabati hayo na miti yamefanyika katika viwanja vya Soko hilo Kijiji cha Tindini Unguja Ukuu Wilaya ya Kati Unguja Mkoa wa Kusini.
Wananchi wa Kijiji cha Tindini wakishiriki katika ujenzi wa Soko la Samaki Tindini likiwa katika hatua ya kuezeka.na kuhudumiwa wananchi wavuvi wa kijiji hicho kuuzia samaki wao.. 
Wananchi wa Kijiji cha Tindini wakishiriki katika ujenzi wa Soko la Samaki Tindini likiwa katika hatua ya kuezeka.na kuhudumiwa wananchi wavuvi wa kijiji hicho kuuzia samaki wao
Kiongozi wa Kijiji cha Tindini akitowa maelezo ya ujenzi wa Soko hilo la Samaki katika ufukwe wa bahari yao litakalotowa huduma ya kuuzia samaki kwa wavuvi katika soko la mnada. 



Hivyo makala Mwakilishi wa Jimbo la Tungu Mhe Simai Mohammed na Mbunge wa Jimbo Hilo Mhe Khalifa Salum Washiriki Ujenzi wa Soko la Samaki Katika Kijiji cha Tindini

yaani makala yote Mwakilishi wa Jimbo la Tungu Mhe Simai Mohammed na Mbunge wa Jimbo Hilo Mhe Khalifa Salum Washiriki Ujenzi wa Soko la Samaki Katika Kijiji cha Tindini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mwakilishi wa Jimbo la Tungu Mhe Simai Mohammed na Mbunge wa Jimbo Hilo Mhe Khalifa Salum Washiriki Ujenzi wa Soko la Samaki Katika Kijiji cha Tindini mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/mwakilishi-wa-jimbo-la-tungu-mhe-simai_23.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mwakilishi wa Jimbo la Tungu Mhe Simai Mohammed na Mbunge wa Jimbo Hilo Mhe Khalifa Salum Washiriki Ujenzi wa Soko la Samaki Katika Kijiji cha Tindini"

Post a Comment