title : Mwakilishi wa Jimbo la Makunduchi Mhe Haroun Akabidhi Vifaa Jimboni Kwake.
kiungo : Mwakilishi wa Jimbo la Makunduchi Mhe Haroun Akabidhi Vifaa Jimboni Kwake.
Mwakilishi wa Jimbo la Makunduchi Mhe Haroun Akabidhi Vifaa Jimboni Kwake.
Mwakilishi wa Jimbo la Makunduchi Mhe.Haroun Ali Suleiman amekabidhi vifaa Kiongozi wa Timu ya Azimio Ndg. Ramadhani Kocho kwa timu 18 za Jimbo lake vyenye thamani ya sh.milioni 7.5 hafla hiyo imefanyika Muyuni
Mwakilishi huyo akiongea na wanamichezo wenye hafla ya kukabidhi vifaa hivyo, jezi, mipira na pesa taslimu kwa timu zote zinazoshiriki mashindano hayo yanayojulikana kama Jimbo Cup Makunduchi.
Picha na Martin Kabemba
Hivyo makala Mwakilishi wa Jimbo la Makunduchi Mhe Haroun Akabidhi Vifaa Jimboni Kwake.
yaani makala yote Mwakilishi wa Jimbo la Makunduchi Mhe Haroun Akabidhi Vifaa Jimboni Kwake. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mwakilishi wa Jimbo la Makunduchi Mhe Haroun Akabidhi Vifaa Jimboni Kwake. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/mwakilishi-wa-jimbo-la-makunduchi-mhe.html
0 Response to "Mwakilishi wa Jimbo la Makunduchi Mhe Haroun Akabidhi Vifaa Jimboni Kwake."
Post a Comment