MPANGO WA TAIFA WA KUDHIBITI KIKUU NCHINI WAZINDUA REJISTA YA WANAOHISIWA KUWA NA KIFUA KIKUU (TB)

MPANGO WA TAIFA WA KUDHIBITI KIKUU NCHINI WAZINDUA REJISTA YA WANAOHISIWA KUWA NA KIFUA KIKUU (TB) - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MPANGO WA TAIFA WA KUDHIBITI KIKUU NCHINI WAZINDUA REJISTA YA WANAOHISIWA KUWA NA KIFUA KIKUU (TB), tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MPANGO WA TAIFA WA KUDHIBITI KIKUU NCHINI WAZINDUA REJISTA YA WANAOHISIWA KUWA NA KIFUA KIKUU (TB)
kiungo : MPANGO WA TAIFA WA KUDHIBITI KIKUU NCHINI WAZINDUA REJISTA YA WANAOHISIWA KUWA NA KIFUA KIKUU (TB)

soma pia


MPANGO WA TAIFA WA KUDHIBITI KIKUU NCHINI WAZINDUA REJISTA YA WANAOHISIWA KUWA NA KIFUA KIKUU (TB)

Displaying IMG_9952.JPG
Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikari za Mitaa (TAMISEMI)  George Simbachawene akikata utembe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Rejista mpya ya wanaohisiwa kuwa na Kifua kikuu ambayo itaanza kutumika kwenye vituo vyote vya kutolea huduma, wakati wa Mkutano wa mwaka wa Waganga waWakuu wa Mikoa na Wilaya unaoendelea Mjini Dodoma,Kushoto ni Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt.Hamisi Kigwangwalla
Displaying IMG_9961.JPG
Dkt.Hamisi Kigwangwalla akisoma moja ya Rejista hiyo ambayo imezinduliwa rasmi leo,kulia kwake ni Waziri Simbachawane na aliyesimama kushoto ni Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI anayeshughulikia Afya Dkt. Zainabu Chaula
Displaying IMG_9965.JPG
Waziri  Simbachawene akimkabidhi Rejista hiyo Naibu Katibu Mkuu-TAMISEMI upande wa Afya Dkt. Zainabu Chaula

Displaying IMG_9974.JPG
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Chamwino Athumani Masasi akiwa na Mkurugenzi toka Global Fund-Geneva Dkt.Osamu Kunii mara baada ya Kukabidhiwa Rejista hiyo na Waziri Simbachawene
Displaying IMG_9978.JPG
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Chamwino Athumani Masasi wakipeana Rejista hiyo na Mwenyekiti wa Waganga Wakuu wa Mikoa ambaye ni Mganga Mkuu wa mkoa wa Mwanza Dkt. Leonald Subi(kulia)

Displaying IMG_9884.JPG
Baadhi ya Wakurugenzi toka Wizara ya Afya,TAMISEMI pamoja na Taasisi za Wizara ya Afya wakitambulishwa wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya unaofanyika kwenye ukumbi wa LAPF Mjini Dodoma(Picha zote na Wizara ya Afya)



Hivyo makala MPANGO WA TAIFA WA KUDHIBITI KIKUU NCHINI WAZINDUA REJISTA YA WANAOHISIWA KUWA NA KIFUA KIKUU (TB)

yaani makala yote MPANGO WA TAIFA WA KUDHIBITI KIKUU NCHINI WAZINDUA REJISTA YA WANAOHISIWA KUWA NA KIFUA KIKUU (TB) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MPANGO WA TAIFA WA KUDHIBITI KIKUU NCHINI WAZINDUA REJISTA YA WANAOHISIWA KUWA NA KIFUA KIKUU (TB) mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/mpango-wa-taifa-wa-kudhibiti-kikuu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MPANGO WA TAIFA WA KUDHIBITI KIKUU NCHINI WAZINDUA REJISTA YA WANAOHISIWA KUWA NA KIFUA KIKUU (TB)"

Post a Comment