title : MBUNGE WA CHALINZE MHE. RIDHIWANI KIKWETE MGENI RASMI MICHUANO YA NDONDO CUP
kiungo : MBUNGE WA CHALINZE MHE. RIDHIWANI KIKWETE MGENI RASMI MICHUANO YA NDONDO CUP
MBUNGE WA CHALINZE MHE. RIDHIWANI KIKWETE MGENI RASMI MICHUANO YA NDONDO CUP
Mgeni rasmi Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete (meza kuu kulia juu) akimshangilia shabiki mkubwa wa timu ya Kauzu Fc ya Tandika Chief Kauzu wakati akiingia katika uwanja wa Kinesi eneo la Ubungo jijini Dar es salaam kabla ya mchezo wa Mashindano ya Mpira wa Miguu ya SportsXtra Ndondo Cup yanayoandaliwa na Clouds FM na AzamTv, baina ya Kauzu FC na Stim Tosha ambayo iliibuka mshindi kwa njia ya penati 4-2 baada ya kutoka sare ya 1-1.
Mgeni rasmi Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete akiongea jambo na Chief Kauzu wa Timu ya Kauzu Fc ya Tandika
Mgeni rasmi Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete akiwa meza kuu na viongozi wengine wa michuano hiyo
Mgeni rasmi Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete akigawa zawadi kwa kiongozi wa timu ya Kauzu FC. Kushoto ni Mbunge wa Ubungo Mhe. Saeed Kubenea
Mgeni rasmi Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete akigawa zawadi kwa viongozi wa timu ya StimTosha ya Mabibo ambao ndiyo walioibuka na Ushindi wa Magoli 4-2 kwa njia ya Penalti baada ya kumaliza mchezo kwa sare ya 1-1
Hivyo makala MBUNGE WA CHALINZE MHE. RIDHIWANI KIKWETE MGENI RASMI MICHUANO YA NDONDO CUP
yaani makala yote MBUNGE WA CHALINZE MHE. RIDHIWANI KIKWETE MGENI RASMI MICHUANO YA NDONDO CUP Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MBUNGE WA CHALINZE MHE. RIDHIWANI KIKWETE MGENI RASMI MICHUANO YA NDONDO CUP mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/mbunge-wa-chalinze-mhe-ridhiwani.html
0 Response to "MBUNGE WA CHALINZE MHE. RIDHIWANI KIKWETE MGENI RASMI MICHUANO YA NDONDO CUP"
Post a Comment