title : Matukio ya Picha Kisiwani Pemba
kiungo : Matukio ya Picha Kisiwani Pemba
Matukio ya Picha Kisiwani Pemba
Msanii wa Uchoraji wa picha kisiwani Pemba Ndg. Abby akiwa katika kazi zake za uchoraji wa aina ya picha mbalimbali mjini Chakechake maeneo ya machomane kama alivyokutwa na mpiga picha wetu katika eneo hilo la kazi yake ili kuweza kujipatika kipato kupitia usanii huwa wa uchoraji
AFISA Mdhamini Wizara Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Pemba, Siahab Haji Vuai akizungumza na kamati za Uvuvi kutoka shehia tatu za Wilaya ya Mkoani, huko katika skuli ya Mohamed Juma Pindua
BAADHI ya Wafanya biashara wa mji wa Chake Chake, wameanza kuvunja mabanda yao ambayo walikuwa wakiyatumia katika kipindi cha Ramadhani na skukuu yake katika mji wa Chake Chake.(PICHA NA ABDI SUELIMAN, PEMBA).
Hivyo makala Matukio ya Picha Kisiwani Pemba
yaani makala yote Matukio ya Picha Kisiwani Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Matukio ya Picha Kisiwani Pemba mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/matukio-ya-picha-kisiwani-pemba.html
0 Response to "Matukio ya Picha Kisiwani Pemba"
Post a Comment