Matukio : Rais Dk. Magufuli Kigoma

Matukio : Rais Dk. Magufuli Kigoma - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio : Rais Dk. Magufuli Kigoma, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio : Rais Dk. Magufuli Kigoma
kiungo : Matukio : Rais Dk. Magufuli Kigoma

soma pia


Matukio : Rais Dk. Magufuli Kigoma



Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipata maelezo ya ujenzi wa mradi mkubwa wa maji toka Ziwa Tanganyika toka kwa mhandisi mshauri wa mradi huo ndugu Michael Mwamkinga


Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipata maelezo ya ujenzi wa mradi mkubwa wa maji toka Ziwa Tanganyika toka kwa mhandisi mshauri wa mradi huo ndugu Michael Mwamkinga

Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa na Waziri Maji Mhandisi Gerson Lwenge, Mbunge wa Kigoma mjini Mhe. Zitto Kabwe pamoja na viongozi wengine wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa ujenzi wa mradi wa maji toka ziwa Tanganyika


Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa na Waziri Maji Mhandisi Gerson Lwenge, Mbunge wa Kigoma mjini Mhe. Zitto Kabwe pamoja na viongozi wengine akiweka jiwe la msingi kuashiria uzinduzi wa ujenzi wa mradi wa maji toka Ziwa Tanganyika

Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akihutubia Mamia ya Wananchi wa Mkoa wa Kigoma katika Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.


Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akihutubia Mamia ya Wananchi wa Mkoa wa Kigoma katika Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.

Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli,akiwa katika picha ya pamoja na vijana wa Jeshi la Kujenga Taifa Bulombora Kikosi cha 821KJ.




Vijana wa Jeshi la Kujenga Taifa Bulombora Kikosi cha 821kj wakishangilia mara baada ya kukutana na kupiga picha kusalimiana na Mheshimiwa Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli.


Maelfu ya waanchi wakimsikiliza Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli wakati akiwahutubia a katika Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
Maelfu ya waanchi wakimsikiliza Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli wakati akiwahutubia a katika Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma. PICHA NA IKULU


Hivyo makala Matukio : Rais Dk. Magufuli Kigoma

yaani makala yote Matukio : Rais Dk. Magufuli Kigoma Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Rais Dk. Magufuli Kigoma mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/matukio-rais-dk-magufuli-kigoma.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Matukio : Rais Dk. Magufuli Kigoma"

Post a Comment