MAMLAKA YA UDHIBITI NA MANUNUZI YADHAMIRIA KATIKA KUBORESHA MANUNUZI YA ZABUNI

MAMLAKA YA UDHIBITI NA MANUNUZI YADHAMIRIA KATIKA KUBORESHA MANUNUZI YA ZABUNI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAMLAKA YA UDHIBITI NA MANUNUZI YADHAMIRIA KATIKA KUBORESHA MANUNUZI YA ZABUNI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAMLAKA YA UDHIBITI NA MANUNUZI YADHAMIRIA KATIKA KUBORESHA MANUNUZI YA ZABUNI
kiungo : MAMLAKA YA UDHIBITI NA MANUNUZI YADHAMIRIA KATIKA KUBORESHA MANUNUZI YA ZABUNI

soma pia


MAMLAKA YA UDHIBITI NA MANUNUZI YADHAMIRIA KATIKA KUBORESHA MANUNUZI YA ZABUNI

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.

MAMLAKA  wa Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA)imejizatiti katika kufanya marekebisho ya sheria ikiwa ni katika kuboresha zaidi manunuzi ya zabuni kwa serikali.

Akizungumza wakati akitembelea banda la PPRA lililopo kwenye jengo la Wizara ya Fedha na Mipango, Afisa Mtendaji Mkuu wa PPRA Dkt Laurent Shirima amesema kuwa maboresho hayo yatalenga katika sehemu tano ambazo zitaboresha manunuzi ya zabuni katika nyanja mbalimbali.

Dkt Shirima amesema kuwa wataboresha manunuzi katika kupunguza gharama za ununuaji wa zabuni, serikali kununua kwa bei za sokoni wakimaanisha bei halisi ya zabuni pia watatoa upendeleo kwa makampuni ya ndani ikiwemo makundi maalumu kama vile wanawake, wazee na vijana.

Ameongezea kuwa, katika maboresho mengine yatakuwa ni katika kuendeleza viwanda kama serikali ya awamu ya tano inavyosisitiza ukuaji wa viwanda huku PPRA ikiangalia zaidi wataalamu wa manunuzi kutoka ndani pia wapo katika hatua za mwisho za kuhamia katika mfumo wa kieletroniki wa ununuzi wa zabuni.

PPRA ni mamlaka inayohusiana na udhibiti wa manunuzi ya Umma ambapo kupitia kwa Mtendaji Mkuu Dkt Shirima amewaondoa hofu wananchi kuwa waiamini taasisi yao kwani mambo mengi ya msingi yameshawekwa wazi na fedha za umma zinahitaji uwajibikaji.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka wa Udhibiti wa Manunuzi ya Umma  PPRA Dkt Laurent Shirima akizungumza na wanahabari wakati alipotembelea banda la Mamlaka wa Udhibiti wa Manunuzi ya Umma PPRA lililopo kwenye jengo la Wizara ya Fedha na Mipango na kuelezea namna wanavyojizatiti katika kuboresha ununuaji wa zabuni kwa serikali.
  Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka wa Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA) Dkt Laurent Shirima akimuhudumia mwananchi aliyetembelea banda lao na katika maadhimisho ya 41 ya Monesho ya kimataifa ya Sabasaba leo Jijini Dar es salaam.
 Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka wa Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA) Dkt Laurent Shirima akipata maelezo kutoka kwa  mfanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa Taifa (PPF) wakati alipotembelea banda hilo lilipo katika Jengo la Wizara ya Fedha na Mipango  katika maadhimisho ya  41 ya Monesho ya kimataifa ya Sabasaba leo Jijini Dar es salaam.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala MAMLAKA YA UDHIBITI NA MANUNUZI YADHAMIRIA KATIKA KUBORESHA MANUNUZI YA ZABUNI

yaani makala yote MAMLAKA YA UDHIBITI NA MANUNUZI YADHAMIRIA KATIKA KUBORESHA MANUNUZI YA ZABUNI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAMLAKA YA UDHIBITI NA MANUNUZI YADHAMIRIA KATIKA KUBORESHA MANUNUZI YA ZABUNI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/mamlaka-ya-udhibiti-na-manunuzi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAMLAKA YA UDHIBITI NA MANUNUZI YADHAMIRIA KATIKA KUBORESHA MANUNUZI YA ZABUNI"

Post a Comment