Makontena 10 ya kemikali yakamatwa Bandarini, Dsm

Makontena 10 ya kemikali yakamatwa Bandarini, Dsm - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Makontena 10 ya kemikali yakamatwa Bandarini, Dsm, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Makontena 10 ya kemikali yakamatwa Bandarini, Dsm
kiungo : Makontena 10 ya kemikali yakamatwa Bandarini, Dsm

soma pia


Makontena 10 ya kemikali yakamatwa Bandarini, Dsm

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini imekamata makontena 10 yenye lita 200,000 za kemikali bashrifu katika Bandari ya Dar es Salaam yenye ambayo yameingizwa kutoka nchini Swaziland kinyume cha sheria.

Aidha mamlaka hiyo imebaini kuwa, kampuni inayotuhumiwa kwa sakata hilo imekuwa ikiingiza kemikali hizo tangu mwaka 2016, ambapo taarifa zinaonyesha waliwahi kuingiza lita milioni 1.5 za kemikali bashirifu ambazo zinaonyesha zilipelekwa kwenye kampuni moja iliyoko Mbezi Luis.


Baada ya kufuatilia wakagundua kuwa kampuni hiyo inajihusisha na yard ya magari na siyo kutunza wala kuchakata kemikali jambao ambalo liliwapa wasiwasi na kuamua kufanya uchunguzi zaidi.


Hivyo makala Makontena 10 ya kemikali yakamatwa Bandarini, Dsm

yaani makala yote Makontena 10 ya kemikali yakamatwa Bandarini, Dsm Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Makontena 10 ya kemikali yakamatwa Bandarini, Dsm mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/makontena-10-ya-kemikali-yakamatwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Makontena 10 ya kemikali yakamatwa Bandarini, Dsm"

Post a Comment