MAKONDA: DAR ES SALAAM TUNAENDA DIGITALI.

MAKONDA: DAR ES SALAAM TUNAENDA DIGITALI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKONDA: DAR ES SALAAM TUNAENDA DIGITALI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKONDA: DAR ES SALAAM TUNAENDA DIGITALI.
kiungo : MAKONDA: DAR ES SALAAM TUNAENDA DIGITALI.

soma pia


MAKONDA: DAR ES SALAAM TUNAENDA DIGITALI.


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa  Paul Makonda  leo amefanya mkutano wa majadiliano na wadau wa Usalama kujadili mfumo wa teknolojia ya ufuatiliaji wa Vyombo vya usafiri na madereva wanaokiuka sheria za usalama barabarani kwa kutumia Camera za kisasa.

Mfumo huo ujulikanao kama  Tanzania Tracking Technology of Security Monitoring System  umejumuisha wadau mbalimbali ikiwemo Kampuni ya ulinzi ya TAMOBA Ltd,TTCL na VETA ambapo utakuwa na uwezo wa kutambua Gari,namba za Gari, sehemu Gari ilipo,jina la Dereva pamoja na uwezo wa kuizima Gari iliyoibiwa na kutoa taarifa za sehemu Dereva alipokiuka sheria za barabarani.

Mheshimiwa  Makonda  amebaini mfumo huo unaweza kuleta manufaa katika Nyanja zaidi ya 17 ikiwemo kuzuia makosa ya Barabarani, wizi wa magari,ubovu wa magari, ujambazi, leseni,usalama kwa wageni,Usalama wa raia, kudhibiti bandari bubu pamoja na uharibifu wa barabara utokanao na magari yanayobeba mizigo mkubwa kuliko uwezo wa Barabara.

Aidha  Makonda  ametoa siku kumi kwa wadau mbalimbali ikiwemo wanasheria, Jeshi la Polisi, VETA, Kampuni ya TTCL, Chuo cha DIT, Chuo kikuu,TRA na Kampuni ya ulinzi ya TAMOBA kuunda jopo litakalopitia mfumo huo na kuja na majibu ya namna ya kutengeneza mfumo kulingana na mazingira na jiografia ya Mkoa wa Dar es Salaam.

Mimi Story sizipendi, tumepiga story sana,nataka kuona Mfumo wa Camera za CCTV zinafungwa, nakumbuka Rais Mstaafu alishaagiza huu mfumo kuanza lakini hadi leo hakuna lolote, wapo walioenda Nchi mbalimbali ikiwemo China kujifunza huu mfumo lakini hadi leo sijaona lolote, sasa mimi siendi Nchi yoyote, nipo hapahapa Dar es salaam na nitahakikisha Camera zinafungwa”*_Alisema Makonda.


Hivyo makala MAKONDA: DAR ES SALAAM TUNAENDA DIGITALI.

yaani makala yote MAKONDA: DAR ES SALAAM TUNAENDA DIGITALI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKONDA: DAR ES SALAAM TUNAENDA DIGITALI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/makonda-dar-es-salaam-tunaenda-digitali.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKONDA: DAR ES SALAAM TUNAENDA DIGITALI."

Post a Comment