Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Albert Msole ashinda tena nafasi hiyo

Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Albert Msole ashinda tena nafasi hiyo - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Albert Msole ashinda tena nafasi hiyo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Albert Msole ashinda tena nafasi hiyo
kiungo : Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Albert Msole ashinda tena nafasi hiyo

soma pia


Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Albert Msole ashinda tena nafasi hiyo


Pichani ni Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Albert Msole (CCM) ambaye amefanikiwa kushinda tena nafasi hiyo baada ya kumbwaga mpinzani wake Philemon Oyogo (Chadema).    
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya hiyo, Yefred Myenzi akitoa matokeo hayo alisema kati ya madiwani 22 waliopiga kura, madiwani 14 walimpigia Msole na madiwani nane walimpigia Oyogo. 
Myenzi alisema Msole atadumu kwenye nafasi hiyo kwa kipindi cha mwaka mmoja wa 2017/2018 ndipo utakapofanyika uchaguzi mwingine wa makamu Mwenyekiti. Akizungumza baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa nafasi hiyo Msole aliwashukuru madiwani wote kwa heshima kubwa waliyompa na kumrudishia tena nafasi hiyo hivyo ataendelea kushirikiana nao kuhakikisha kuwa halmashauri hiyo inasonga mbele kwenye maendeleo. 

"Tuendelee kushirikiana pamoja kwani tumeshirikiana vizuri tangu mwaka 2015 na kazi yangu kubwa ni kumsaidia Mwenyekiti wa halmashauri yetu, natoa ahadi kwenu kuwa nitaendelea kuteleleza wajibu wangu kwani heshima mliyonipa ni kubwa japo mimi ni mdogo kwenu," alisema Msole.  
Mwenyekiti wa halmashauri hiyo Jackson Sipitieck alisema kama siyo jambo la kisheria, kanuni na taratibu, wasingeruhusu uchaguzi huo ufanyike kwani jitihada za Msole za uchapakazi kwenye halmashauri hiyo zinajulikana. 
"Msole ni mpambanaji mzuri, muwajibikaji, muwazi na anayefanya kazi zake kwa kutenda haki bila kupendelea mtu na nadhani wote tunatambua jitihada zake kama siyo sheria angekuwa makamu Mwenyekiti kwa miaka yote mitano," alisema Sipitieck.


Hivyo makala Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Albert Msole ashinda tena nafasi hiyo

yaani makala yote Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Albert Msole ashinda tena nafasi hiyo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Albert Msole ashinda tena nafasi hiyo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/makamu-mwenyekiti-wa-halmashauri-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Albert Msole ashinda tena nafasi hiyo"

Post a Comment