title : Maisha :Msiba Wa Mtanzania Prof Henslay Kabisama Nchini Marekani
kiungo : Maisha :Msiba Wa Mtanzania Prof Henslay Kabisama Nchini Marekani
Maisha :Msiba Wa Mtanzania Prof Henslay Kabisama Nchini Marekani
WaTanzania nchini Marekani wanaomboleza msiba wa Profesa Henslay Kabisama aliyefariki huko California mwishoni mwa mwezi June
Mjane wa Marehemu pamoja na wadau kadhaa waliungana na Mubelwa Bandio katika kipindi cha NJE-NDANI kuongelea mipango ya mazishi ilipofikia sasa.
Unaweza kushiriki kusaidia gharama za kuusafirisha mwili kupitia akaunti HII ya GoFundME
Karibu uwasikilize
Hivyo makala Maisha :Msiba Wa Mtanzania Prof Henslay Kabisama Nchini Marekani
yaani makala yote Maisha :Msiba Wa Mtanzania Prof Henslay Kabisama Nchini Marekani Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Maisha :Msiba Wa Mtanzania Prof Henslay Kabisama Nchini Marekani mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/maisha-msiba-wa-mtanzania-prof-henslay.html
0 Response to "Maisha :Msiba Wa Mtanzania Prof Henslay Kabisama Nchini Marekani"
Post a Comment