Kilimanjaro:Watu wawili wafariki dunia wakibatizwa........Jeshi la Polisi Lamtia Mbaroni Mchungaji

Kilimanjaro:Watu wawili wafariki dunia wakibatizwa........Jeshi la Polisi Lamtia Mbaroni Mchungaji - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kilimanjaro:Watu wawili wafariki dunia wakibatizwa........Jeshi la Polisi Lamtia Mbaroni Mchungaji, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kilimanjaro:Watu wawili wafariki dunia wakibatizwa........Jeshi la Polisi Lamtia Mbaroni Mchungaji
kiungo : Kilimanjaro:Watu wawili wafariki dunia wakibatizwa........Jeshi la Polisi Lamtia Mbaroni Mchungaji

soma pia


Kilimanjaro:Watu wawili wafariki dunia wakibatizwa........Jeshi la Polisi Lamtia Mbaroni Mchungaji

Watu wawili wamefariki dunia kwa  kuzama katika mto Ungwasi wakati wakiwa kwenye ibada ya ubatizo.

Kutokana na tukio hilo, Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro, linawashikilia watu watatu akiwamo mchungaji wa Kanisa la Siloamu wilayani Rombo kwa uchunguzi kwa madai kuwa waumini hao walizama wakati wakiwa katika ibada iliyoandaliwa na kanisa hilo.

Kamanda wa Polisi mkoani humo, Hamis Issah amesema tukio hilo lilitokea juzi saa saba mchana, kwenye mto Ungwasi uliopo Kijiji cha Keni Kata ya Manda chini wilayani hapa.

Issah amewataja waliofariki dunia kuwa ni Gasper Utoh (47) na Proches Mrema (30).

Kamanda amesema miili ya marehemu imehifadhiwa katika Hospitali ya Huruma kwa uchunguzi zaidi.

Akielezea tukio hilo, Mkuu wa wilaya hiyo Agness Hokororo amesema waumini hao walifariki dunia wakati wakibatizwa.



Hivyo makala Kilimanjaro:Watu wawili wafariki dunia wakibatizwa........Jeshi la Polisi Lamtia Mbaroni Mchungaji

yaani makala yote Kilimanjaro:Watu wawili wafariki dunia wakibatizwa........Jeshi la Polisi Lamtia Mbaroni Mchungaji Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kilimanjaro:Watu wawili wafariki dunia wakibatizwa........Jeshi la Polisi Lamtia Mbaroni Mchungaji mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/kilimanjarowatu-wawili-wafariki-dunia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kilimanjaro:Watu wawili wafariki dunia wakibatizwa........Jeshi la Polisi Lamtia Mbaroni Mchungaji"

Post a Comment